‘Hatuhusiki na waraka unaopinga rasimu’
Jumuiya ya Mtakatifu Thomas more Dodoma, imekanusha waraka unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ukipinga rasimu ya Katiba, pamoja na uchochezi wa kidini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Mkombozi Benki: Hatuhusiki kutakatisha fedha
Benki ya Biashara ya Mkombozi imesema, haihusiki na utakatishaji fedha zilizoibiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Waraka wa Muungano ni zimwi?
BUNGE la Maalumu linaloendelea na vikao vyake mkoani Dodoma kwa takriban miezi miwili sasa limekuwa kizungumkuti cha aina yake. Baadhi ya watu Zanzibar, wameanza kuhisi kikao hiki cha kihistoria kimegeuzwa...
11 years ago
Vijimambo30 Oct
HONGERA MZEE WA WARAKA


5 years ago
Michuzi
TRUMP AINYUKA WHO WARAKA MZITO
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
RAIS wa Marekani Donald Trump ameendelea kulituhumu Shirika la afya Duniani (WHO) kwa kushindwa kuwa chombo huru katika kupambana na janga la mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19.) Ambavyo hadi sasa vimesambaa duniani kote na hakuna chanjo wala kinga iliyopatikana hadi sasa.
Kupitia barua aliyoiweka katika ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiielekeza kwa Mkurugenzi wa WHO Dkt. Tedros Adhonom Ghebreyesus Trump ...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
JK atoe tamko waraka wa CCM’
Waraka unaodaiwa kuandaliwa na CCM kwa ajili kuwaelekeza wajumbe wake kwenye Bunge Maalumu la Katiba kutetea msimamo wa Serikali mbili umepokewa kwa hisia tofauti huku Rais Jakaya Kikwete akitakiwa kujitokeza hadharani kueleza msimamo wake.
11 years ago
Mwananchi26 Sep
Waraka wa Warioba kwa Wasira
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameandika waraka kumjibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira kwa kauli yake kuwa ndiye aliyemkimbiza CCM kwenda upinzani mwaka 1995.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Waraka wa Katiba wa CCM hadharani
Waraka huo wa kurasa 22 unaoainisha mambo yenye masilahi kwa chama hicho, unawataka wajumbe wake kuutetea bungeni.
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Waraka wa Zitto wamponza Waitara
>Sakata la waraka wa Mkakati wa Mabadiliko uliosababisha kuvuliwa vyeo ndani ya Chadema kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe limeibuka kwa sura mpya, safari hii likimkwamisha Ofisa wa Sera na Utafiti wa chama hicho makao makuu, Mwita Waitara kuwania uongozi.
11 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
09-May-2025 in Tanzania