Hongera Sitta, tunataka Bunge la kasi, viwango
SPIKA wa zamani wa Bunge la Muungano, Samuel Sitta, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma. Sitta ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Mheshimiwa Sitta na ‘kasi na viwango’
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Viwango, kasi vya Sitta vimepwaya
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameliahirisha Bunge hilo juzi huku akijitetea kwa hoja dhaifu kuhusu tuhuma za kushindwa kwake kusimamia nidhamu kwa wajumbe. Tangu kuanza kwa mjadala...
5 years ago
MichuziKAMATI YA MIUNDOMBINU YARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA RELI YA KISASA YASISITIZA VIWANGO VYA UBORA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso, akijaribu ubora wa mataruma yanayotengenezwa katika Kiwanda cha Mataruma Kilosa, wakati kamati hiyo ilipokagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR,Mkoani Morogoro.Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa Meneja Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ASEMA SERIKALI HAIJARIDHIA VIWANGO VIPYA VYA NAULI YA MABASI YAENDAYO KASI.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizunguza na Waandishi wa Habari kwenye uwanja wa Ngege wa Julius Nyerere baada ya kuwasili akitoka Songea Januari 6, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Geoge Simbachawene. na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es slaam Meck Sadiki.Baadhi ya waandishi wa habari wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere baada ya kuwasili akitoka Songea Januari 6, 2016. (PIcha na...
11 years ago
MichuziTAASISI YA VIWANGO ZANZIBAR (ZBS) NA TASISI YA VIWANGO TANZANIA (TBS) ZAKUBALIANA KUFANYA KAZI PAMOJA
11 years ago
Habarileo13 Mar
Sitta na Bunge la Maridhiano
MWENYEKITI mteule wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameonesha wazi kuwa ataongoza Bunge hilo kwa maridhiano, baada ya kueleza kundi lililokuwa nyuma yake wakati wa kampeni.
11 years ago
Habarileo13 Apr
Busara za Sitta zaokoa Bunge
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alilazimika kutumia busara ili kuepusha Bunge hilo kuvunjika kutokana na kujitokeza kwa dosari mbalimbali wakati kamati zikiwasilisha maoni ya mijadala ya sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya Katiba mpya.
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Sitta ataweka historia Bunge Maalumu
UJIO wa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, katika nafasi ya kuliongoza Bunge hilo la historia, inaweza kuweka historia ya kutengeneza katiba ile tunayohitaji na itamweka Rais Jakaya...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Sitta: Kuna mpango kuvuruga Bunge
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta amefichua siri za kuwepo kwa mipango ya siri, inayodaiwa kufanywa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuvuruga mchakato wa kuundwa kwa Katiba mpya.