Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hospitali ya Mbeya kupima ebola

Hospitali ya Rufaa ya Mbeya (MRH) itakuwa na maabara maalumu ya kupima watu watakaohisiwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa ebola.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Mbeya yateuliwa kupima ebola

Hospitali ya Rufaa Mbeya (MRH),  imeteuliwa rasmi kuwa na maabara maalumu ya kuwapima watu watakaohisiwa kuwa na virusi vya ugonjwa wa ebola.

 

5 years ago

Michuzi

WAUGUZI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA MBEYA WATOA ZAWADI YA CHEREHANI KWA HOSPITALI

 Baadhi ya picha za wauguzi katika maadhimisho ya Siku ya wauguzi Duniani .
Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wametoa zawadi  ya Cherehani ikiwa ni kuadhimisha siku ya  wauguzi Duniani.

Wauguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya,  leo wamekabidhi zawadi ya mashine ya cherehani  yenye thamani ya shilingi 1,500,000/= MZRH ikiwa ni mchango wao wa alama ya upendo katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wauguzi duniani.

Akizungumza katika makabidhiano hayo Mwenyekiti wa  Chama cha...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema Tanzania haina maabara yenye uwezo wa kuthibitisha vipimo vya ebola hivi sasa na kwamba inapotokea mtu kudhaniwa kuathiriwa na virusi vya ugonjwa huo, vipimo vyake ni lazima vithibitishwe nje ya nchi.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA MBEYA AONGOZA CHAKULA CHA HISANI KUCHANGIA UJENZI WA NJIA ZA KUPITISHIA WAGONJWA HOSPITALI YA MKOA WA MBEYA.


MKUU wa wilaya ya Mbeya Dk. Norman Sigallah King, juzi usiku aliwaongoza wakazi wa Jiji la Mbeya kwenye chakula cha hisani ya kuchangia ujenzi wa njia za kupitishia wagonjwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

Mwenyekiti wa Kamati ya Marafiki wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Oleais Senga, Akimkaribisha mgeni rasmi

Baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla hiyo





Subilaga Mwambeta Mkurugenzi AJ Technology moja ya wachangiaji wakubwa wa marafiki wa hospitali ya mkoa Mbeya

Lyimo M.L Meneja Beaco Resort

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KUKABIDHI MASHINE YA KUPIMA KANSA YA MATITI HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mwenyekiti wa WAMA, Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete
Mwenyekiti wa WAMA Mheshimiwa Mama Salma Kikwete atakabidhi msaada wa mashine ya kupimia Kansa ya Matiti katika Hospitali kuu ya Jeshi Lugalo tarehe Ijumaa Februari 27, 2015 saa tatu na nusu (3:30) Asubuhi.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Makao Makuu ya JWTZ, Ngome, Upanga jijini Dar es Salaam iliyotolewa leo Alhamisi Feb 26, 2015, imesema makabidhiano hayo yatafanyika kwenye Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ...

 

11 years ago

Michuzi

wanahabari lindi washerehekea siku ya uhuru wa habari kwa kupima afya na kutoa misaada hospitali

WANAHABARI mkoa wa Wa Lindi wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bw Abdulaziz Ahmeid wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa kutoa msaada kwa jamiii baada ya kutoa msaada wa Vifaa mbalimbali katika wodi za wazazi na watoto katika Hospital ya Rufaa ya Sokoine Mkoani Lindi Wanahabari hapo pia walipimwa afya zao na  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani humo ili kila mmoja afanye kazi zake huku akijua Afya yake   Akiongea baada ya hafla hizo Bw. Abdulaziz Ahmeid alieleza...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Pacha wa Mbeya’ watoka hospitali

>Watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana, Eliud Erick na Elikana Erick, ambao walikuwa wakifanyiwa operesheni katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya (MRH), wameruhusiwa kurudi nyumbani Kasumulu wilayani Kyela.

 

10 years ago

Dewji Blog

Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege

Ebola - 4

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

 Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...

 

11 years ago

Habarileo

Hospitali za wagonjwa wa ebola zatajwa

PAMOJA na kuwa mpaka sasa hakuna mgonjwa mwenye virusi vya homa hatari ya ebola, wala anayehisiwa kuwa na ugonjwa huo nchini, Serikali imeshajiandaa kukabiliana na ugonjwa huo, ambao umeshaua zaidi ya watu 1,000 katika nchi za Afrika Magharibi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani