Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huenda marufuku ya Suarez itapunguzwa

Wakili wa Luiz Suarez anamatumaini FIFA itapunguza marufuku ya miezi minne aliyopewa kwa kumngata mchezaji .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Suarez huenda akashiriki El Clasico.

Mshambulizi wa Uruguay na Barcelona huenda akashiriki katika mechi dhidi ya Real Madrid mwezi Oktoba.

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA:Suarez akabiliwa na marufuku

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Uruguay Luis Suarez anakabiliwa na marufuku ya mda mrefu itakayomlazimu kukosa mechi zilizosalia

 

11 years ago

BBCSwahili

Mahakama imeafiki marufuku ya Suarez.

Mahakama ya rufaa ya michezo imeafiki marufuku ya miezi 4 dhidi ya mshambulizi wa Barcelona Luis Suarez.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Mishahara itapanda na itapunguzwa kodi

Rais Jakaya Kikwete ametoa ahadi mbili za kuwafurahisha wafanyakazi. Kwanza ametangaza nia ya kuongeza mishahara yao na pili, kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo mambo ambayo ameahidi kutekelezwa katika Bajeti ya mwaka 2014/2015 inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni hivi karibuni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yasema huenda ikashambulia IS

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema taifa hilo linaweza likashambulia wapiganaji wa Islamic State iwapo hilo litaidhinishwa na Umoja wa Mataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN: MH17 huenda ni Uhalifu wa Kivita

UN yaonya kuwa kutunguliwa kwa MH17 mashariki mwa Ukraine huenda ni uhalifu wa kivita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sisi huenda atawania Urais

Gazeti moja nchini Kuwait limesema kuwa Kiongozi wa jeshi la Misri Abdel Fattah al Sisi atawania urais katika uchaguzi ujao

 

11 years ago

BBCSwahili

FIFA huenda ikaiadhibu Nigeria

FIFA huenda ikaipiga marufuku Nigeria kwa kuingilia usimamizi wa kandanda.

 

10 years ago

BBCSwahili

Suluhu huenda isipatikane Ukraine

Angela Merkel asema mkutano wa amani kuhusu Ukraine waweza kushindwa kupata ufumbuzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani