Sisi huenda atawania Urais
Gazeti moja nchini Kuwait limesema kuwa Kiongozi wa jeshi la Misri Abdel Fattah al Sisi atawania urais katika uchaguzi ujao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Al-Sisi kuwania Urais Misri
Viongozi wa kijeshi nchini Misri wamekubaliana Mkuu wa jeshi ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Abdel Fattah Al Sisi kuwania Urais katika Uchaguzi ujao
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Putin aunga Sisi ''kuwania urais Misri''
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema anaunga mkuu wa majeshi ya Misri Abdul Fattah al-Sisi kuwania urais .
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kagame atangaza atawania muhula wa tatu
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba atawania urais kwa muhula wa tatu baada ya muhula wake wa sasa kumalizika 2017.
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Urusi yasema huenda ikashambulia IS
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema taifa hilo linaweza likashambulia wapiganaji wa Islamic State iwapo hilo litaidhinishwa na Umoja wa Mataifa.
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Huenda marufuku ya Suarez itapunguzwa
Wakili wa Luiz Suarez anamatumaini FIFA itapunguza marufuku ya miezi minne aliyopewa kwa kumngata mchezaji .
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
FIFA huenda ikaiadhibu Nigeria
FIFA huenda ikaipiga marufuku Nigeria kwa kuingilia usimamizi wa kandanda.
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Huenda 800 waliangamia baharini
Umoja wa Mataifa unasema kuwa huenda watu 800 walifariki Jumapili, pale mashua waliyokuwa wakilitumia ilipozama baharini.
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Suluhu huenda isipatikane Ukraine
Angela Merkel asema mkutano wa amani kuhusu Ukraine waweza kushindwa kupata ufumbuzi
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
Burundi:AU huenda isishiriki uchaguzi
Siku moja tu kabla ya uchaguzi wa Urais kufanyika nchini Burundi,wachunguzi wa kimataifa, Waangalizi wa umoja wa Afrika huenda wasishiriki
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania