Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hujuma, viongozi Simba wameuza viwanja

Anayeaminika ni katibu mkuu mwenye mafanikio ya juu zaidi katika Klabu ya Simba,Kassim Dewji. Na Mwandishi Wetu
KASSIM Dewji anayeaminika ni katibu mkuu mwenye mafanikio ya juu zaidi katika Klabu ya Simba, ameibuka na kutoa siri kuwa kuna viongozi waliuza viwanja viwili mali ya klabu hiyo. Dewji aliyeiongoza Simba kuitoa Al Ahly mwaka 2003, amesema Simba ilikuwa na viwanja vinne katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Simba yakwepa hujuma Mbeya

Simba-vs-Yanga-2NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

TIMU ya soka ya Simba imebuni mbinu mpya ya kufanya mazoezi ndani ya Uwanja wa Jeshi wa JKT mkoani Mbeya, ili kukwepa vitendo vya hujuma wanavyoweza kufanyiwa kwa kuruhusu mashabiki kuingia kienyeji na kuwasoma wakati wakijiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons.

Kitendo cha Simba kuingia mafichoni na kuutumia uwanja huo ambao awali waliugomea kabla ya kucheza na Mbeya City, kimetafsiriwa kama moja ya mipango na mikakati ya timu hiyo iliyoandaliwa ili kuimarisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Viwanja Yanga, Simba porojo

Wakati upanuzi wa Uwanja wa Kaunda wa klabu ya Yanga ukiwa bado ‘kitendawili’, wenzao wa Simba wameibuka na suala jipya wakidai sasa wanatafuta mtaalamu wa kupima udongo kwenye uwanja wao wa Bunju.

 

10 years ago

Vijimambo

AIBU ILIYOJE, YANGA, SIMBA KUTEKELEZA VIWANJA


Mafundi wakiendelea na ujenzi wa uwanja wa Simba uliopo eneo la Bunju jijini Dar es Salaam. Picha na Maktaba 
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na mipango ya awali.
UKOSEFU wa viwanja vya michezo ni tatizo ambalo limekuwa likiuandama zaidi mchezo wa soka unaopendwa na wengi.
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaongoza viongozi mbali mbali na mamia ya waombolezaji kumfariji Mh. Sophia Simba kwa kufiwa na Mwanae Leeford Simba

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Waziri wa Maendeleo ya jamii jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba kufuatia kifo cha mwanaye Marehemu Leeford Simba huko Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Leeford Simba anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Leeford Simba amezikwa jioni ya leo kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa kampuni ya Ndege ya Fastjet watembelea Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

Fastje2

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S. Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.

Fastjet3

 

10 years ago

Mwananchi

Butoyi awagawa viongozi Simba

Ujio wa beki mpya wa Simba, Mrundi Butoyi Hussein umewagawa viongozi wa Simba katika makundi mawili yanayopingana juu ya usajili wake, ingawa kocha Patrick Phiri amesema aachiwe kazi hiyo aifanye mwenyewe.

 

10 years ago

Mtanzania

Phiri awapa tahadhari viongozi Simba

Kikosi cha Simba

Kikosi cha Simba

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mzambia Patrick Phiri, ameutahadharisha mapema uongozi wa klabu hiyo kutomuingilia katika mipango yake ya kujenga kikosi bora.

Akizungumza na MTANZANIA Jumapili, Phiri alisema kikosi chake kimeweka kambi Zanzibar kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara. Alisema viongozi wanapaswa kumuacha atekeleze majukumu yake mwenyewe na si kuingiliwa.

Alisema anatambua kama viongozi wanachokihitaji ni ushindi, lakini ni vizuri...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Viongozi wapya wa Simba leteni maendeleo

>Itakumbukwa Mei 9, 2010, klabu ya Simba ilipata viongozi wake wake waliokuwa chini ya uenyekiti wa Ismail Aden Rage na ambao wamemaliza muda wao na jana viongozi wapya walitarajiwa kuingia madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mrwanda: Sikutaka longolongo na mali kauli za viongozi wa Simba

 Mshambuliaji mpya wa Yanga, Danny Mrwanda amesema kilichomfanya asisajiliwe na Simba ni usajili wa “mali kauli”, wakati anachoangalia kwa sasa ni fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani