Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu kesi ya Mwenyekiti Halmashauri Njombe yavuta hisia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Njombe inatarajiwa kutoa hukumu kesho ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Antony Mahwata ya kutishia kuua kwa maneno.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HUKUMU KESI YA KESI KISUTU


NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.

Hayo yalithibitishwa leo kupitia hukumu iliyosomwa na Hakimu Mkazi Frank Moshi kwa niaba ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, ambaye alisikiliza kesi ya kughushi inayomkabili Macha.

Katika kesi hiyo, Macha alikuwa akikabiliwa na mashitaka matatu ya kughushi hati ya umiliki wa kiwanja kilichopo eneo ya Kigogo, Dar es...

 

5 years ago

CCM Blog

HALMASHAURI YA NJOMBE YAVUKA TENA MALENGO UKUSANYAJI MAPATO


Na Amiri kilagalila,NjombeHALMASHAURI ya wilaya ya Njombe ambayo asilimia 70 ya mapato yake inayapata kutoka kwenye mazao ya miti , imefanikiwa kuvuka tena lengo la makusanyo ya mwaka 2019/2020 katika kipindi cha robo tatu ya mwaka kwa kukusanya asilimia 108 ya mapato.Ripoti hiyo ya makusanyo imetolewa katika kikao cha baraza na mwenyekiti wa halmashauri Valentino Hongoli na kutolewa ufafanunuzi na mkurugenzi Ally Juma ambaye anasema siri ya mafanikio makubwa katika makusanyo yametokana na...

 

10 years ago

Michuzi

Halmashauri ya Mji Njombe yawezesha Vikundi vya WAVIU

Halmashauri ya Mji Njombe imetoa msaada wa fedha wenye thamani ya shilingi Million tano (5,000,000/=) kwa vikundi vya Wajasiriamali vya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU), ambapo fedha hizo zitatumika kuendeleza miradi mbalimbali iliyoanzishwa na iliyopendekezwa kuanzishwa na vikundi hivyo.
Mratibu wa Ukimwi katika Halmashauri ya Mji Njombe Ndugu Daniel Mwasongwe alisema, fedha hizo zimetolewa kwa lengo la kuviwezesha vikundi hivyo kuongeza kipato ambacho kitawasaidia...

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hukumu kesi ya Kibanda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya uchochezi inayomkabili aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalom...

 

9 years ago

Mtanzania

Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo

Alphonce  MawazoNA BENJAMIN MASESE, MWANZA

JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.

Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.

Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...

 

11 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kesi ya kina Makunga leo

Mahakama ya Hakimun Mkazi Kisutu yawaachia huru punde Meneja Uendelezaji Biashara wa Mwananchi Communication (MCL), Theophil Makunga, Aliyekuwa Mhariri Mtendaji  wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba.

 

9 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Shehe Ponda leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani hapa leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya jinai inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda. Hukumu hiyo iliahirishwa kutolewa Oktoba 19, mwaka huu baada ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kushindwa kukamilisha kuiandika kutokana na matatizo ya kiafya yaliyokuwa yakimkabili.

 

10 years ago

Mwananchi

Hukumu kesi ya ujangili ‘kiini macho’

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Kilimanjaro, jana imemhukumu raia wa Pakistan Ahmed Kamran kifungo cha miaka 60 jela baada ya kumtia hatiani kwa makosa manne ikiwamo kusafirisha twiga wanne hai kwenda Qatar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani