Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUONI HAYA KUMTIBULIA SWAUMU MPENZI WAKO?

Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe zako za kila siku kama kawaida. Kwa wale Waislam wenzangu niwape pole kwa mfungo na kuwakumbusha tu kwamba, wahakikishe swaumu zao zinakuwa timilifu kwa kujiweka mbali na yale ambayo yanaweza kuwaharibia. Mpenzi msomaji wangu, mapenzi hayana likizo hasa kwa wawili waliotokea kupendana sana. Huwezi kusema unaenda likizo kumpenda mkeo au mpenzi wako lakini kuna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA! - 2

NINA furaha sana moyoni mwangu maana ninakwenda kuzungumza na wewe kuhusu mambo muhimu sana katika maisha yetu ya kimapenzi. Rafiki zangu, nazungumza juu ya kauli ambazo zina ishara mbaya kwenye uhusiano. Wakati mwingine unaweza kumsikia mpenzi wako akikuambia maneno ya ajabu sana, lakini usielewe maana yake ni nini. Ngoja nikuambie, kila kinachotoka kinywani mwa mpenzi wako kukuambia wewe kina maana yake. Lengo ni kujifunza;...

 

11 years ago

GPL

MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA!

UNAWEZA kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la msingi ni kuwa makini kupambanua.
Pointi ya msingi hapa ni lugha zenye ishara mbaya kwa wapenzi. Umewahi kujiuliza kuhusu hili? Umewahi kutafakari juu ya kauli chafu anazotoa mpenzi wako dhidi yako? Kauli za maudhi, kashfa na hata matusi wakati mwingine, wewe unazichukuliaje? Rafiki zangu, kauli...

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri rafiki yangu ambaye aliniletea mashitaka ya mpenzi wake kutembea na...

 

11 years ago

GPL

MPENZI WAKO ANAWASILIANA NA ‘EX’ WAKE? FANYA HAYA

Unapoingia katika penzi jipya, ni kipindi ambacho moyo wako unakuwa na furaha ya hali ya juu. Unaweza kuhisi unaibeba dunia nzima kwa raha ya penzi jipya, utajitahidi kumuonesha huyo uliyempata kila aina ya mahaba ilimradi aendelee kuwa na wewe na akupende zaidi. Lakini kadiri unavyozidi kukaa na mwenzako na mnavyozidi kuzoeana, ndipo unapopata nafasi ya kuyajua maisha yake kwa undani. Taratibu utaanza kufahamu yeye ni mtu wa...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpenzi wako ‘kicheche’

NI matumaini yangu msomaji wa safu hii -mzima wa afya.  Leo nitaelezea jinsi ya kuzungumza na mpenzi wako pindi unapomuona anawatamani wasichana wengine pindi unapokuwa naye kwenye mkusanyiko wa watu...

 

9 years ago

Bongo5

Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?

Black-woman-white-man

Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?

Black-woman-white-man

Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuvaa chupi ya mpenzi wako?

Chupi inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani.

 

10 years ago

GPL

UNAKUNJAJE USO KWA MPENZI WAKO?

SIKU zinakimbia kwelikweli kuelekea mwisho wa mwaka, dunia ikijiandaa kwa ajili ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, yapata zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Wenyewe wanaita Krismas. Ni kipindi ambacho pia akina baba wanapunguza idadi ya michepuko kutokana na wingi wa mahitaji na akina mama nao wanaongeza orodha ya ATM ili wanone zaidi!
Uongo? Kama utaamua kunikatalia sitakulaumu kwa sababu huenda wewe ni mmoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani