MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA!
![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W2aNNpx-nZOrkvw-5IHwDVrjWKuhGp6GvzKeik8YLQ4xw5oYqbSYw*UNt3LS5T-9F0nnAmUtBOzK5CsX-ulgO6k/mahaba.jpg?width=600)
UNAWEZA kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la msingi ni kuwa makini kupambanua. Pointi ya msingi hapa ni lugha zenye ishara mbaya kwa wapenzi. Umewahi kujiuliza kuhusu hili? Umewahi kutafakari juu ya kauli chafu anazotoa mpenzi wako dhidi yako? Kauli za maudhi, kashfa na hata matusi wakati mwingine, wewe unazichukuliaje? Rafiki zangu, kauli...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnUxlxBzSJOxz20Gncm5qO0eUWWGA1CD5C01MfEuYX2N2G1YgyyX*uBTf*5SOXctA*wRLR4aMWwpPwS498Cchwts/mahaba.jpg)
MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA! - 2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TiGlW1XckRajUTVz747lhPe5onQKw1BYq*CZhnSwL-QOjswZsgB3tew0qgHg5NCNHxgzmdtXCqzRXYX*NvXID5ASQSL4Z*vV/7.jpg?width=650)
HUONI HAYA KUMTIBULIA SWAUMU MPENZI WAKO?
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..
“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVWL7OMDvz5swFQfJfNJYGb9CUfoJ-i6Dnga6gLJdPsfI06dQNEpyLk27L6WBiBo2lOsjQdoNPV9IIdIdl6yMTk3/mahaba.jpg?width=650)
MPENZI WAKO ANAWASILIANA NA ‘EX’ WAKE? FANYA HAYA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-orm8i_Jn5LE/U6gB67o5dtI/AAAAAAAAAog/LlzPYMCYTEg/s72-c/10441151_776114232410007_7420358411946438068_n.jpg)
HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!
![](http://4.bp.blogspot.com/-orm8i_Jn5LE/U6gB67o5dtI/AAAAAAAAAog/LlzPYMCYTEg/s640/10441151_776114232410007_7420358411946438068_n.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-vHG5-bX4LbVa95GsjByp9eIalFdEcex08MnkcVS7hhQtEhspSDBslRHD5*4LBKICQuh6Lgj7OwIh*yLGlCTidh/love.jpg)
MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycOEuurqrdH8b3F-a63*PB-RMjP1Q3xcOIR9o9RjOQPkKxH7PWbsQDzmTWy7xgkhrbXZ*38RMRgcSAglxuIdW1Js/MAHABA.gif?width=650)
DEAR, MPENZI: MANENO YASIYOKUWA NA MAANA TENA
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Maneno Haya ya Lulu ,Yachukulie Kama Changamoto
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe mzuri ambao kiukweli unaweza kukupa nguvu zaidi kufikia malengo yako kama mtu unaejitambua.
“The more they try to slow you down on the road of purpose, the faster you have to go..!
You only meet opposition when you're going the right way”
Kwa tafsiri isiyo rasmi anasema “kwa jinsi wanavyozidi kujaribu kukurudisha nyuma katika njia ya mafanikio ndio inakubidi...
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Haya siyo maneno mazuri kwa mjazito