DEAR, MPENZI: MANENO YASIYOKUWA NA MAANA TENA
![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycOEuurqrdH8b3F-a63*PB-RMjP1Q3xcOIR9o9RjOQPkKxH7PWbsQDzmTWy7xgkhrbXZ*38RMRgcSAglxuIdW1Js/MAHABA.gif?width=650)
NI Jumanne tena! Nawakaribisba wasomaji wangu wa safu hii makini kwa elimu ya mapenzi katika maisha.Wiki iliyopita tulikuwa na mada ya ‘wengi wanapenda harusi kuliko ndoa’. Wenye kuelewa walielewa.Wiki hii nina mada nyingine kabisa inayosema dear, mpenzi ni maneno yasiyokuwa na maana tena. Hapa namaanisha kwamba, miaka ya zamani, wapendanao au wapenzi waliyatumia sana maneno haya katika kuoneshana upendo wa dhati. ...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Bongo514 Feb
Dear Harmorapa, Acha Maneno Weka Muziki!
Harmorapa kwa sasa siyo jina geni tena katika masikio ya mashabiki wa muziki na burudani Tanzania, japo kutokueleweka kasi ya kupenya katika kipindi kifupi.
Rapper huyo kwa sasa amekuwa machachari huku akiteka vichwa vya habari kila kukicha, huku akiendelea kujitengenezea fan base.
Napenda kuzungumzia jinsi harmorapa huenda akapotea, endapo ataendelea kufanya hiki anchokifanya sasa hivi, ingawa ni dhahiri ana watu wenye nguvu ya fedha nyuma yake na upeo mkubwa wa tasnia ya muziki akiwemo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnUxlxBzSJOxz20Gncm5qO0eUWWGA1CD5C01MfEuYX2N2G1YgyyX*uBTf*5SOXctA*wRLR4aMWwpPwS498Cchwts/mahaba.jpg)
MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA! - 2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W2aNNpx-nZOrkvw-5IHwDVrjWKuhGp6GvzKeik8YLQ4xw5oYqbSYw*UNt3LS5T-9F0nnAmUtBOzK5CsX-ulgO6k/mahaba.jpg?width=600)
MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA!
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
10 years ago
Bongo Movies22 Mar
Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..
“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga...
9 years ago
Bongo504 Jan
Sitochora tena tattoo ya jina la mpenzi wangu – Shilole
![shilole-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/shilole-2-300x194.jpg)
Shilole ameapa kutorudia tena kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake.
Hivi karibuni muimbaji huyo alilazimika kuifuta tattoo ya jina la aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda.
Shilole amesema kujichora tattoo ya jila Nuh kumemharibia issue kibao.
“Tattoo hapa ni empty,” aliambia 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatatu hii.
“SiwezI tena kuchora tattoo kwaajili ya mapenzi. Nimeamua kama tutapendana tutapenda rohoni kwa sababu nishaona hakuna sababu ya kuchora tattoo. Unaweza...
11 years ago
Bongo502 Aug
Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Maneno na Miundo ya maneno ya Kiswahili inayokanganya.