Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA! - 2

NINA furaha sana moyoni mwangu maana ninakwenda kuzungumza na wewe kuhusu mambo muhimu sana katika maisha yetu ya kimapenzi. Rafiki zangu, nazungumza juu ya kauli ambazo zina ishara mbaya kwenye uhusiano. Wakati mwingine unaweza kumsikia mpenzi wako akikuambia maneno ya ajabu sana, lakini usielewe maana yake ni nini. Ngoja nikuambie, kila kinachotoka kinywani mwa mpenzi wako kukuambia wewe kina maana yake. Lengo ni kujifunza;...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MPENZI WAKO AKIKUAMBIA MANENO HAYA, ZINDUKA!

UNAWEZA kuambiwa maneno mengi sana kutoka kwa mpenzi wako, mazuri na mabaya lakini yapo ambayo yanatoa taswira isiyo nzuri. Jambo la msingi ni kuwa makini kupambanua.
Pointi ya msingi hapa ni lugha zenye ishara mbaya kwa wapenzi. Umewahi kujiuliza kuhusu hili? Umewahi kutafakari juu ya kauli chafu anazotoa mpenzi wako dhidi yako? Kauli za maudhi, kashfa na hata matusi wakati mwingine, wewe unazichukuliaje? Rafiki zangu, kauli...

 

11 years ago

GPL

HUONI HAYA KUMTIBULIA SWAUMU MPENZI WAKO?

Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe zako za kila siku kama kawaida. Kwa wale Waislam wenzangu niwape pole kwa mfungo na kuwakumbusha tu kwamba, wahakikishe swaumu zao zinakuwa timilifu kwa kujiweka mbali na yale ambayo yanaweza kuwaharibia. Mpenzi msomaji wangu, mapenzi hayana likizo hasa kwa wawili waliotokea kupendana sana. Huwezi kusema unaenda likizo kumpenda mkeo au mpenzi wako lakini kuna...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake  mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..

“Being with someone who won't give up on you”.  Akaandika tena  “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.

Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye  anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga...

 

11 years ago

GPL

MPENZI WAKO ANAWASILIANA NA ‘EX’ WAKE? FANYA HAYA

Unapoingia katika penzi jipya, ni kipindi ambacho moyo wako unakuwa na furaha ya hali ya juu. Unaweza kuhisi unaibeba dunia nzima kwa raha ya penzi jipya, utajitahidi kumuonesha huyo uliyempata kila aina ya mahaba ilimradi aendelee kuwa na wewe na akupende zaidi. Lakini kadiri unavyozidi kukaa na mwenzako na mnavyozidi kuzoeana, ndipo unapopata nafasi ya kuyajua maisha yake kwa undani. Taratibu utaanza kufahamu yeye ni mtu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri rafiki yangu ambaye aliniletea mashitaka ya mpenzi wake kutembea na...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

10 years ago

GPL

DEAR, MPENZI: MANENO YASIYOKUWA NA MAANA TENA

NI Jumanne tena! Nawakaribisba wasomaji wangu wa safu hii makini kwa elimu ya mapenzi katika maisha.Wiki iliyopita tulikuwa na mada ya ‘wengi wanapenda harusi kuliko ndoa’. Wenye kuelewa walielewa.Wiki hii nina mada nyingine kabisa inayosema dear, mpenzi ni maneno yasiyokuwa na maana tena. Hapa namaanisha kwamba, miaka ya zamani, wapendanao au wapenzi waliyatumia sana maneno haya katika kuoneshana upendo wa dhati.
...

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno Haya ya Lulu ,Yachukulie Kama Changamoto

Mrembo na staa wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram ameandika ujumbe  mzuri ambao  kiukweli unaweza kukupa nguvu zaidi kufikia malengo yako kama mtu unaejitambua.

 “The more they try to slow you down on the road of purpose, the faster you have to go..!
You only meet opposition when you're going the right way”

Kwa tafsiri isiyo rasmi anasema “kwa jinsi wanavyozidi kujaribu kukurudisha nyuma katika njia ya mafanikio ndio inakubidi...

 

10 years ago

Mwananchi

Haya siyo maneno mazuri kwa mjazito

Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa kile alichokibeba tumboni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani