HUPATI MLO KAMILI? JUA JINSI YA KUJAZIA!
![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox6Oyv8-rfq6NHWv98otXjQW9toOnjJ9EO*bMpJC4wLSXGm471ZNZwVTYRHeW3RkuRL7i7A7cZmXSu8fHhxjenhh/mlo.jpg?width=650)
NI kipindi cha kuukaribisha mwaka mpya 2014 na kuuaga 2013. Katika kipindi hiki ni desturi yetu kuwanunulia tuwapendao zawadi na pengine hata kujinunulia wenyewe kama ishara ya kutakiana maisha mema na yenye afya tele. Kuna zawadi nyingi za kumnunulia umpendae lakini pengine inayoweza kuwa na thamani kubwa na yenye mvuto kwa kipindi hiki ni lishetiba au kwa jina lingine ‘food supplement’ kwa sababu utakuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Jan
Zambarau mlo kamili Chamwino
KUNDI kubwa la watoto jana lilifika kwenye miti ya mizambarau karibu na kituo cha Polisi cha Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuchuma zambarau ambazo wamedai ni kwa ajili ya chakula na hata kuuza ili wapate fedha za kununua madaftari.
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
KABAYSER: Ukiwasoma mashabiki hupati shida
UBUNIFU ni moja ya silaha muhimu kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, maarufu kama Bongo Fleva, hii ni kutokana na ushindani unaolikabili soko la muziki huo baina ya...
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Kwa nini Rose Kamili si kamili
MALUMBANO ya kisiasa nchini yanazidi kupamba moto baada ya mke wake wa zamani wa Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema Dk Willibrod Slaa, Rose Kamili kuibuka na kusema amesikitishwa na kauli alizozitoa mume wake huyo alipozungumza na waandishi wa habari Septemba Mosi.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kamili alisema wakati Dk. Slaa anatangaza kung’atuka kwenye siasa alisema amekuwa akila mihogo na familia yake, jambo ambalo si la kweli.
Alisisitiza kuwa japokuwa mihogo siyo chakula...
10 years ago
Mwananchi19 Jun
Mlo unaofaa kwa wanaofunga
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Mume mgomvi aandaliwa mlo wa kondomu
10 years ago
Mwananchi13 Mar
Umuhimu wa udhibiti wa chumvi kwenye mlo
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Mlo wako ni tafsiri ya ubora wa afya yako
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Diwani Nanyaro atekeleza ahadi ya mlo shuleni
DIWANI wa Levelosi, jijini Arusha, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), ametoa msaada wa unga wa mahindi na sukari vyenye thamani ya zaidi ya sh 750,000 kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha...
10 years ago
Michuzi19 Jun