Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hussein Idd: Mfanyabiashara aliyekombolewa na mabadiliko ya kidigitali

Hussein Idd akiwasikiliza wateja.SI jambo rahisi kuamini ukiambiwa kuwa kuna wafanyabiashara wanaendesha maisha yao kwa kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao.
Unaweza kujiuliza ni kwa namna gani anaweza kupata wateja, hasa ukizingatia kuwa watu wengi nchini si wafuatiliaji wa masuala ya mitandao.
Hussein Idd ni mmoja kati ya watu wanaonufaika na biashara hiyo. Kijana huyu anaiona mitandao ya kijamii kama miongoni mwa mambo yaliyomfanya afanikiwe maishani.
Idd ni muhitimu wa fani ya Teknolojia ya Mawasiliano katika chuo cha Learn...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TAFAKURI YA ABDU IDD :Wapigakura wa Tanzania tunahitaji mabadiliko gani?

Wadau wa tafakuri, ni vizuri tukayatafakari mabadiliko, kabla ya kuingia kwenye hatua ya kupiga kura.

 

5 years ago

CCM Blog

IDD HAMAD IDD AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Kada wa CCM Idd Hamad Idd nae achukua fomu kuwania urais wa Zanzibar kupitia CCM. Ni mtia nia wa 29

 

5 years ago

Michuzi

WATEJA WA HALOTEL KIDIGITALI ZAIDI NA HALOPESA APP

Afisa Bidhaa HaloPesa Roxana Kardio ( Kulia), Hindu Kanyamala ,Afisa wa Habari wa Halotel(kushoto) Magesa Wandwi wa Kitengo cha Biashara HaloPesa(Kulia) wakionesha HaloPesa APP walizopakua kwenye simu janja zao.Mkuu wa Kitengo cha Biashara HaloPesa, MagesaWandwi (Kulia) ,Akizungumza na waandishi wa Habari, makao makuu ya Halotel katika uzinduzi wa Huduma ya HaloPesa App ikienda kwa jina la kampeni #ChillaxNa HaloPesa APP, ambapo wateja wote wa Halotel wataweza kupakua HaloPesa APP kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

MASHAURI 4,711 YAENDESHWA KIDIGITALI KIPINDI CHA CORONA

Na Magreth Kinabo–Mahakama

Mahakama ya Tanzania imefanikiwa kuendesha mashauri 4,711 kwa njia ya Mahakama Mtandao maarufu kama ‘Video Conference’ ikiwa ni hatua mojawapo za kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 1 9 katika kipindi cha miezi miwili.

Mashauri hayo yamesikilizwa kwa njia hiyo, kufuatia utekelezaji wa agizo la Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Ibrahim Juma alilolitoa Machi 23, mwaka huu la kutumia Teknolojia ya Habari na...

 

5 years ago

Michuzi

Benki Ya Exim Yazindua Kampeni Kuhamasisha Huduma Za Kidigitali

Benki ya Exim imezindua kampeni yake mpya inayolenga kuhamasisha wateja wa benki hiyo kutumia zaidi huduma za kiditali ili kurahisha upatikanaji wa huduma zinazotolewa na benki hiyo sambamba na kuokoa muda ambao wangeutumia kufuata huduma hizo kwenye matawi ya benki hiyo.
Kampeni hiyo imekuja kipindi ambacho jamii inapitia mabadiliko kuelekea huduma za kidigitali hususani katika huduma za kifedha na manunuzi, hali iliyochochewa zaidi na mlipuko wa ugonjwa wa virus vya Corona (COVID...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM KUWAPATIA WATEJA WAKE MUZIKI WA KIDIGITALI KUTOKA DEEZER

Kampuni maarufu ya kuuza muziki kwa njia ya digitali inayojulikana kama Deezer, imeingia ushirikiano na kampuni ya Vodacom ambapo wateja wa Vodacom wataweza kupakua muziki katika maktaba kubwa ya muziki ya kampuni hiyo yenye nyimbo zaidi ya milioni 35.
Deezer ni kampuni kubwa ya kuuza muziki kwa njia ya kidigitali nchini Afrika ya kusini.Katika kusherehekea ushirikiano huu na Vodacom wateja wapatao 17 milioni wa Vodacom watajipatia offer ya kipindi cha mwezi mmoja ya kupakua bure muziki wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani