Huu ni ushauri wa Chidi Benz kuhusiana na suala la Diamond na Davido
Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook. Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu Dimooond aseme haya mambo yapite na Davido sorry my brotha,watu wote tuacheni marumbano na isiwe mapema hivi tunashindana..wote Africa Lugha zimechanganyana plus wajuaji wengi kazi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo519 Aug
New Music: Chidi Benz feat Diamond & AY – Mpaka Kuchee
10 years ago
GPLCHIDI BENZ APANDISHWA KIZIMBANI KISUTU
10 years ago
CloudsFM07 Nov
CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q
Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.
Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
10 years ago
Bongo504 Dec
Chidi Benz kurudi tena mahakamani January 15
10 years ago
Bongo524 Oct
Chidi Benz akamatwa na dawa za kulevya airport
10 years ago
Bongo511 Nov
‘Niombeeni’ — asema Chidi Benz, kupanda kizimbani leo
10 years ago
Bongo529 Oct
Chidi Benz apata dhamana baada ya kutimiza masharti