Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Huyu mwizi atufunze kukamata wezi

Niwe mkweli; nilichukia sana kwa wezi na matapeli kupachikwa a.k.a. ya “wasanii”. Niliona wazi jinsi mbunifu mwenye uwezo wa kutafsiri ujumbe unaotoka kwenye ubongo hata ukasomeka na watu wa rika zote, anavyopewa hadhi sawa na mjinga asiyejua kutafuta riziki kwa njia halali. Ni tusi kubwa lisilomithilika kwa lugha yoyote duniani, hata akhera!

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Anusurika kifo kwa kunywa dawa ya kukamata wezi

MKAZI wa Bunda mkoani Mara, Pendo Kona amepoteza fahamu na kulazwa katika Hospitali ya DDH-Bunda, baada ya kunyweshwa dawa za kienyeji na waganga ili awabaini waliomwibia ng’ombe wake wawili Januari...

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra kukamata wasio na leseni

>Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) imepanga kuanza Operesheni Maalumu ya kukamata magari ya abiria yasiyokuwa na leseni kwa Kanda ya Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Trafiki afa baada ya kukamata daladala

Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata.

 

5 years ago

Michuzi

KATAVI YAFANIKIWA KUKAMATA SILAHA HARAMU 50

Kamanda wa operesheni ya safisha Katumba 2020; kanali Evance Mallasa akionyesha moja ya silaha zilizokamtwa Mzigo wa silaha zilizokamatwa katika makazi ya mishamo na katumba wanapoishi raia wapya wa Tanzania wenye asili ya Burundi 
……………………………………………………………Serikali ya Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi kikosi cha 202 na 401 wamefanikiwa kukamata Bunduki 50 zikiwemo 13 za kivita na tatu zilizotengenezewa nchi za ulaya aina ya G3 kufutia masako uliofanywa kwa muda wa siku 21 katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SUMATRA yaendesha operesheni kukamata bajaj

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefanya operesheni ya kukamata bajaj  zinazoingia katikakati ya Jiji la Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja Leseni...

 

10 years ago

Habarileo

JK aomba ushirikiano kukamata wauaji wa Rwanda

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amezitaka nchi zote duniani zenye taarifa za watuhumiwa wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda ambao hawajakamatwa, kutoa ushirikiano ili watu hao waweze kufikishwa kwenye vyombo vya kimataifa vya sheria.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani