JK aomba ushirikiano kukamata wauaji wa Rwanda
RAIS Jakaya Kikwete amezitaka nchi zote duniani zenye taarifa za watuhumiwa wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda ambao hawajakamatwa, kutoa ushirikiano ili watu hao waweze kufikishwa kwenye vyombo vya kimataifa vya sheria.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Sep
Obama aomba ushirikiano dhidi ya IS
10 years ago
Dewji Blog07 Nov
JK aomba ushirikiano wa kimataifa kukabili ujangili
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Prof. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye ufunguzi wa mkutano mkubwa wa kudhibiti ujangili na hifadhi endelevu ya wanyamapori uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog)
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka jumuiya ya kimataifa kushirikiana na Tanzania katika kukabiliana na majangili...
11 years ago
BBCSwahili19 Oct
Ebola:Rais wa Liberia aomba ushirikiano
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Nchimbi arudi Songea, aomba ushirikiano
MBUNGE wa Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi (CCM), amewataka madiwani na wananchi wa jimbo hilo kumpa ushirikiano wa dhati ili akamilishe ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita. Wito...
11 years ago
MichuziMILLEN MAGESE AOMBA USHIRIKIANO SERIKALINI NA WANANCHI KWA UJUMLA
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla. Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...
11 years ago
Mwananchi21 Mar
Sumatra kukamata wasio na leseni
11 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wauaji wa Meyiwa kutambuliwa
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
SUMATRA yaendesha operesheni kukamata bajaj
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), imefanya operesheni ya kukamata bajaj zinazoingia katikakati ya Jiji la Dar es Salaam. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja Leseni...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Huyu mwizi atufunze kukamata wezi