Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IAAF lilihujumu utafiti wa dawa sisimuzi

Ripoti za vyombo vya habari kutoka nchini Uingereza na Ujerumani zimelilaumu shirikisho la riadha duniani IAAF kwa kuhujumu utafiti ambao uligundua kuwa thuluthi moja ya wanariadha walikiri kuvunja sheria za matumizi ya dawa za kusisimua misuli.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Marufuku kutangaza holela utafiti wa dawa

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amepiga marufuku asasi zinazojishughulisha na tafiti za dawa za binadamu, kutangaza matokeo ya utafiti kwenye vyombo vya habari, bila kufuata misingi iliyowekwa ikiwemo kuihusisha Wizara yake.

 

10 years ago

Habarileo

China, Tanzania kusaini utafiti dawa asili

TANZANIA na China leo wanatia saini Mkataba wa Makubaliano wa kuendeleza na kufanya utafiti wa matumizi ya dawa za asili kwa ajili ya tiba ya magonjwa ya mbalimbali ya binadamu nchini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Utafiti wa matumizi ya dawa ya hydroxychloroquine wapingwa

Makala maalumu iliyobainisha kuwa hydroxychloroquine inaongeza hatari ya kifo kwa wagonjwa wa virusi vya corona imeondolewa kutokana na kuwepo na maswali kuhusu data.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI: DAWA YA COVID 19 KUTOKA MADAGASCAR NI KWA AJILI YA UTAFITI




Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa dawa hiyo inayojulikana kaitaalamu kama "COVIDORGANICS" ni kwa ajili ya utafiti na siyo kwa ajili ya matumizi ya binadamu.

"Huu mzigo (dawa) ni...

 

5 years ago

Michuzi

Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, akiwaonyesha dawa ambayo Madagascar imetoa msaada kwa Tanzania, alipozungumza na Waandishi wa habari Jijini Dae es Salaam, leo.
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....

 

9 years ago

BBCSwahili

Sebastian Coe aula IAAF

Bodi ya Shirikisho la riadha duniani IAAF, imemchagua Sebastian Coe kuwa rais wake mpya.

 

10 years ago

BBCSwahili

IAAF kuwachukulia hatua wanariadha 28

Shirikisho la riadha duniani IAAF limesema kuwa linachukua hatua kali dhidi ya wanariadha 28 walioshiriki katika michezo ya dunia ya mwaka 2005 na 2007 baada ya kukagua upya violezo vya mikojo yao na kupata matokeo mabaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, IAAF imeshindwa mujukumu yake?

Shirikisho la riadha IAAF linakumbwa na madai ya kushindwa kukabiliana na visa vingi vya matumizi ya madawa ya kuongeza nguvu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani