Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ICTR kutoa hukumu ya mwisho leo

Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) iliyokuwa ikishughulikia kesi za mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita leo itatoa hukumu yake ya mwisho kabla ya kufungwa kabisa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mahakama kuu Mwanza yatarajiwa kutoa hukumu Leo kuhusu Mwili Wa Mawazo

Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 11 ya mwaka 2015 ambayo ni kesi ya polisi dhidi ya Charles Lugwiko baba mdogo wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo.

Kesi hiyo ilifunguliwa mahakamani hapo kuiomba mahakama iwapatie haki zote za maziko ndugu wa marehemu waishio Mwanza kutokana na jeshi la polisi kuzuia msiba huo kufanyikia Mwanza kutokana na uwepo wa Ugonjwa wa kipindupindu.

Mapema jana majira...

 

9 years ago

StarTV

ICTR yatajwa kutoa mchango mkubwa wa kuwakamata wahusika  wa kimbari

Wakati Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) ikimaliza muda wake Nchini,Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Chande Othamn, amesema chombo hicho kimekuwa na mchango mkubwa wa kuainisha sheria, kwa kuwakamata na kuwafungulia mashtaka wale waliohusika na mauaji hayo.

Jaji Mkuu Chande Othman aliyekuwa amehudhuria zoezi la kuhitimishwa kwa Mahakama ya ICTR Jijini Arusha, amesema kwa miaka 21 mahakama hiyo imechangia kuwashtaki na kuwahukumu viongozi wakuu wa Serikali,vyama vy...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT WILLIAM SHIJA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Mama Getrude Shija, Mjane wa  Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo cha msiba wa  Marehemu...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA SONGEA YAANZA KUSIKILIZA MASHAURI NA KUTOA HUKUMU KWA 'VIDEO CONFERENCE'.




Na Brian Haule –Mahakama Kuu Songea



Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Songea imeanza kusikiliza mashauri na kutoa hukumu kwa Mahakama Mtandao yaani ‘Video Conference’.

Mahakama hiyo imeanza kusikiliza mashauri kwa njia hiyo, baada ya jitihada za Mahakama ya Tanzania kununua vifaa maalumu vya kuendesha mahakama kwa mtandao kwa ajili ya mahakama mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua za kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa (COVID 19) sambamba na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News!!Hatma ya bomoa bomoa mabondeni Mahakama Kuu kutoa hukumu kesho Januari 5

DSC_5192

Mbunge wa Kinonodon, Maulid Mtulya (katikati) akiwa sambamba na baadhi ya Wanasheria wanaosimamia kesi ya kupinga kubomolewa kwa wakazi wa Mabondeni wa jimbo hilo la Kinondoni muda mfupi baada ya kutoka kusikilizwa kwa kesi yao ya msingi ya kupinga kubomolewa. Kesi hiyo ilifunguliwa na Mbunge huyo kwa kwa lengo la kutetea wananchi hao ili haki ipatikane na hatma ya wapi watapelekwa. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.

Na Andrew Chale

{Dar es Salaam] Umati wa wananchi wa Mabondeni...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JAJI MAKAME

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia) kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia nI jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (kulia) na Mawaziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa Jaji Makame

PG4A2667

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia)  kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na  kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,  marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia ni jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed  Chande Othman. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2677

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed...

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA MORSI LEO

Mohammed Morsi. MAHAKAMA nchini Misri inatarajia kutoa hukumu kwenye kesi kadhaa zinazomkabili rais wa zamani, Mohammed Morsi ambaye aliondolewa madarakani na jeshi mwaka 2013. Mosri anakabiliwa na kesi pamoja na viongozi wengine wa Kundi la Muslim Brotherhood kwa kuwachochea wafuasi kumuua mwandishi wa habari na waandamanaji wa upinzani wakati wa makabiliano nje ya ikulu ya rais mwaka 2012. Mawakili wanaomtetea Mosri wanasema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani