IJUE BIASHARA YA UWAKALA KISHERIA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-lGHo2zmUUBI/Vl6c9ts5rvI/AAAAAAAIJqg/rnUo9HYDIIs/s72-c/images.jpg)
NA BASHIR YAKUB -WAPO mawakala na wapo wanaohitaji kuwa mawakala, Kwa sasa biashara ya uwakala ni kubwa mno, wapo mawakala mitandao ya simu kama tigo, Airtel, voda n.k, mawakala makampuni ya usafirishaji kama mabasi, malori n.k , na makampuni mengine mengi. Mtindo wa biashara ya uwakala umekua sana katika siku za hivi karibuni.
Ni kutokana na ongezeko la makampuni na kukua kwa biashara, Upo umuhimu mkubwa wa kuijua biashara ya uwakala kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Kampuni 51 zapata uwakala wa ajira
9 years ago
Habarileo23 Sep
Uwakala Miss Tanzania mil 1/-
KAMATI ya Miss Tanzania imesema kuwa wakala anayetaka kuandaa shindano hilo la urembo katika mkoa wake, anatakiwa kulipa Sh milioni 1 ikiwa ni ada ya uanachama.
10 years ago
Mwananchi06 Jul
UWAKALA : Madalali watibua usajili Bongo
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Q7utC1MbvBo/VgFfWka3PJI/AAAAAAADY1Y/TkblN9X_o9k/s72-c/tz.jpg)
MISS TANZANIA YAFUNGUA PAZIA LA WANAOTAKA UWAKALA 2016
![post-feature-image](http://2.bp.blogspot.com/-Q7utC1MbvBo/VgFfWka3PJI/AAAAAAADY1Y/TkblN9X_o9k/s640/tz.jpg)
Mashindano yatakayo fanyika ni ya mikoa tu, hakutakuwa na mashindano katika ngazi ya kitongoji, wilaya wala Kanda.
Sifa za kuwa Wakala wa Miss Tanzania ni pamoja na
1) Uwe na Kampuni iliyosajiliwa na Mamlaka husika ya Serikali.
2) Uwe na mtaji wa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-W85u9hvW7dM/Ux2kA28VDEI/AAAAAAAFSrM/n75BpvR8aq4/s72-c/unnamed+(34).jpg)
Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink yawazawadia wazee wa Yombo Kilakala, Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-W85u9hvW7dM/Ux2kA28VDEI/AAAAAAAFSrM/n75BpvR8aq4/s1600/unnamed+(34).jpg)
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India
Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar
Wizara ya...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/jAuhAB0HeeA/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Ijue Ijumaa Kuu
Ijumaa Kuu ni siku ya mwaka ambayo wafuasi wengi wa Yesu Kristo wanaadhimisha kifo chake msalabani ambacho kilitokea nje ya kuta za mji wa Yerusalemu siku ya Ijumaa.
Kadiri ya Mtume Yohane kesho yake ilikuwa Sabato na pia Pasaka, jambo lisilotokea kwa kawaida. Kwa sababu hiyo wataalamu mbalimbali wanakadiria ilikuwa tarehe 7 Aprili 30.
Ijumaa kuu ni sehemu ya Juma Kuu linaloanza kwa adhimisho la Yesu kuingia mji huo akishangiliwa kama mfalme wa Wayahudi (yaaniMasiya au Kristo). Adhimisho...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Ijue T.P.Ok. Jazz ilikoanzia (2)
ILIPOTIMU mwaka 1975, Franco alifyatua nyimbo kali za hali ya juu ya Bomba Bomba Mabe. Katikati ya miaka ya 1970, Franco alikuwa mmoja wa Wakongomani matajiri, akiwa amewekeza kwa kiasi...