Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWAKALA : Madalali watibua usajili Bongo

Yanga ipo kwenye mzozo na Kimondo FC baada ya kumsajili Geofrey Mwashiuya, huku Simba inavutana na mshambuliaji wake Ramadhani Singano ‘Messi’ na vurugu za aina hii zimekuwa ni kawaida hapa nchini kila wakati wa usajili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sh1.5 bil zatumika usajili Bongo

Wakati timu mbalimbali za Ligi Kuu nchini zikiendelea kukamilisha usajili kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao msimu ujao, uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa mpaka sasa zaidi ya Sh1.5 bilioni zimetumiwa kwa wachezaji wao.

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa the Kop in Tanzania watua anfield kukamilisha usajili wa chama bongo

 Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa katika ofisi kuu ya Bwawa la Maini kukamilisha usajili wa jumuiya hiyo ya wapenzai wa Liverpool nchini leo huko Anfield  Mwenyekiti wa The Kop in Tanzania Musleh akiwa Akiwa Anfield leo Issa Batenga na Musleh wakiwa na furaha baada ya kukamilisha usajili rasmi wa The Kop in Tanzania leo Mojawapo ya jezi ambazo kila mwanachama wa The Kop in Tanzania atapata. Hii ni mwendelezo wa harakati za kudumisha chama cha wapenzi wa Bwawa la Maini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watibua shambulizi Somalia

Vikosi vya usalama nchini Somalia vinasema kuwa vimetibua jaribio la mlipuaji wa kujitoa muhanga dhidi ya mkutano wa wanasiasa katikati ya taifa hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Wanasiasa watibua ziara ya Makalla

Wafuasi wa CCM na Chadema wakipeperusha bendera za vyama vyao wakati wa Mkutano wa hadhara wa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla katika Shule ya Msingi Mavurunza Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).ZIARA ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla kukagua miradi ya maji jijini Dar es Salaam, jana iliingia dosari, kutokana na vitendo vya baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi watibua maandamano Brazil

Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kuvunja maandamano Brazil.

 

11 years ago

Mwananchi

Kampuni 51 zapata uwakala wa ajira

Wizara ya Kazi na Ajira imepokea maombi ya kampuni ya wakala wa huduma za ajira 87 kati ya hizo 51 zimepata usajili kwa kipindi cha mwaka mmoja.

 

10 years ago

Habarileo

Uwakala Miss Tanzania mil 1/-

KAMATI ya Miss Tanzania imesema kuwa wakala anayetaka kuandaa shindano hilo la urembo katika mkoa wake, anatakiwa kulipa Sh milioni 1 ikiwa ni ada ya uanachama.

 

9 years ago

Michuzi

IJUE BIASHARA YA UWAKALA KISHERIA.

NA  BASHIR  YAKUB -WAPO mawakala  na  wapo  wanaohitaji  kuwa  mawakala, Kwa  sasa biashara  ya  uwakala  ni  kubwa mno, wapo mawakala   mitandao  ya  simu kama tigo, Airtel, voda n.k, mawakala makampuni  ya  usafirishaji  kama mabasi,  malori n.k , na  makampuni  mengine  mengi. Mtindo  wa  biashara  ya  uwakala  umekua  sana  katika  siku  za  hivi  karibuni. 
Ni  kutokana  na  ongezeko  la  makampuni  na   kukua  kwa  biashara, Upo  umuhimu  mkubwa  wa  kuijua  biashara  ya  uwakala  kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

NCCR- Mageuzi watibua njama za kuhujumu Ukawa

Pg 4 oct 1Na Elias Msuya, Dar es Salaam

CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetibua njama za kuuhujumu na kuufarakanisha   Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) zilizolenga pia kusababisha mauaji kwa Mwenyekiti wake, James Mbatia.

Akizungumza   na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia aliyefuatana  na viongozi wa juu wa chama hicho,  alisema mkakati huo uliwahusisha makamishna wa chama hicho waliohudhuria pia mkutano huo, na uliratibiwa na Makamu mwenyekiti wa chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani