Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ijue Guinea ya Ikweta na mji mkuu wake, malabo

Jamhuri ya Guinea ya Ikweta ni nchi iliyopo magharibi Afrika ya Kati. Ni nchi mojawapo ndogo kwa bara la Afrika.Imepakana na Kamerun upande wa kaskazini, Gabon kusini na mashariki, na Guba la Guinea magharibi, ambapo kisiwa cha São Tomé na Príncipe chapatikana kusini-magharibi mwa Guinea ya ikweta. Ilikuwa koloni ya Uhispania ambapo iliitwa Guinea ya Uhispania, na eneo zake ambazo zajulikana (kwa bara kama Río Muni) za husu eneo kadhaa visiwa, na pia kisiwa kama Bioko ambapo mji mkuu humo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maajabu ya Marhaba Guinea ya Ikweta

Mpira utakaotumika katika Fainali za Afrika 2015 tayari umezinduliwa na unaitwa Adidas Marhaba. Neno Marhaba linamaanisha karibu kwa lugha ya kiarabu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Guinea ya Ikweta yatozwa Faini na CAF

Guinea ya Ikweta imetozwa Faini baada ya vurugu zilizotokea katika mechi kati ya Timu ya nchi hiyo na Ghana

 

10 years ago

BBCSwahili

Guinea ya Ikweta kuandaa AFCON 2015

Guinea ya Ikweta yaitoa kimasomaso michuano ya AFCON mwaka 2015

 

10 years ago

BBCSwahili

Guinea ya ikweta,Burkina Faso kivumbi

Guinea ya Ikweta na Burkina Faso,Congo na Gabon kukipiga Uwanja wa Bata

 

10 years ago

Mwananchi

Guinea ya Ikweta wenyeji wa Afcon 2015

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeitangaza Guinea ya Ikweta kuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika 2015 baada ya Morocco iliyokuwa imepewa nafasi hiyo kujitoa kwa kuhofia ugonjwa wa Ebola

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUA MALABO, EQUTORIAL GUINEA, KUHUDHURIA MKUTANO WA 23 WA UMOJA WA AFRIKA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mji mkuu wa Equatorial Guinea wa Malabo leo Juni 24, 2014 kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Africa –African Union (AU).
Akiwa Malabo, Mheshimiwa Rais Kikwete pia atakuwa Mwenyekiti wa kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa AU kitakachojadili mazingira. Rais Kikwete na ujumbe wake anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa wiki.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Equatorial Guinea Mhe...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Umoja wa Afrika,Mjini Malabo, Equatorial Guinea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali za Umoja wa Afrika, Mjini Malabo, Equatorial Guinea

AU SUMMIT 2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja.

jk2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho...

 

11 years ago

Michuzi

JK arejea nchini baada ya kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika mjini Malabo Equtorial Guinea

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Ilala Mhandisi Raymond Mushi akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Malabo Equtorial Guinea ambapo alikwenda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(AU) uliomalizika jana.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange Picha na Freddy Maro

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani