Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikangaa: Wanariadha wamuenzi Theresia

Bingwa wa zamani wa Afrika wa marathoni, Juma Ikangaa amewataka wanariadha wa Tanzania kumuenzi Theresia Dismas ambaye alikuwa Mtanzania wa kwanza kunyakua medali katika Michezo ya Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

RIADHA: Ikangaa awalipua wanariadha

Mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa, amesema wanariadha wengi wa Tanzania wanaponzwa na kutokuwa wakweli, huku akibainisha kuwa kutokuwapo kwa mkimbiaji wa mbio ndefu, Samson Ramadhan kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola msimu huu ni pigo kwa Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Theresia , mjane aliyetengwa kwa imani za kishirikina

“Igogoo, Igogoo, Igogoo, Igogoo.” Ni kelele za sauti nzito, zilizonishitua baada ya kufika Ofisi ya Serikali, Kata Lwamgasa, Kijiji cha Lwamgasa mkoani Geita nilipofika kikazi na baada ya kuuliza wenyeji kulikoni nikajibiwa kuna mama  anayedaiwa mshirikina aliyetengwa na familia yake sasa anaishi jirani na ofisi hiyo na ndipo zinatoka kelele hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ikangaa, Shahanga waishangaa RT

Bingwa wa Afrika wa 1982, Juma Ikangaa na mshindi wa medali fedha ya Jumuiya ya madola, Gidamis Shahanga wamelishangaa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kushindwa kupeleka timu kwenye Mashindano ya Afrika yanayoendelea nchini Morocco.

 

10 years ago

Mwananchi

Ikangaa apigiwa debe ‘kumrithi’ Malinzi uenyekiti wa BMT

Mwanariadha wa zamani , Juma Ikangaa anatajwa kurithi nafasi ya uenyekiti  wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada ya Dioniz Malinzi kumaliza muda wake wa miaka mitatu juzi Jumapili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakenya wamuenzi mzee Ojuang

Msanii hodari wa mchezo wa kuigiza nchini Kenya, mzee Ojuang, aliyefariki wiki jana, alitumbuiza Wakenya wengi akiwa na mkewe, Mama Kayai na wengine, kwenye kipindi chao maarufu, Vitimbi

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Afrika wamuenzi Mwalimu Nyerere

Umoja wa Nchi za Afrika (AU) umetoa heshima na kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa kuita jina lake moja ya majengo yake katika makao makuu ya umoja huo mjini Addis Ababa, Ethiopia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanamuziki wamuenzi Gurumo kwa vitendo 

WADAU wa tasnia ya burudani hasa muziki wa dansi nchini wamepata pigo kubwa la kuondokewa na nguli wa muziki, Maalim Muhidin Gurumo (73) aliyefariki dunia Aprili 13, akipatiwa matibabu katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Zanzibar wamuenzi Nyerere kwa vitendo, siyo porojo

Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ametimiza miaka miaka 15 tangu kufariki dunia Oktoba 14, mwaka 1999.

 

9 years ago

Habarileo

Wamuenzi Seth Benjamini wa Azimio la Arusha kwa usafi

KIKUNDI cha hamasa cha kuwaenzi viongozi na waasisi wa Taifa cha Loliondo Group, mkoani Arusha, kimemuenzi shujaa Seth Benjamini aliyefariki dunia akitembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha, kwa kufanya usafi wa mazingira ulioambatana na kusafisha kaburi la shujaa huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani