Ikangaa, Shahanga waishangaa RT
Bingwa wa Afrika wa 1982, Juma Ikangaa na mshindi wa medali fedha ya Jumuiya ya madola, Gidamis Shahanga wamelishangaa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kushindwa kupeleka timu kwenye Mashindano ya Afrika yanayoendelea nchini Morocco.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Shahanga: Nilikaribia kutwaa ubingwa wa dunia
Mwaka 1983 mwanariadha wa Tanzania, Gidamis Shahanga alikamata nafasi ya tano katika mashindano ya riadha ya dunia yaliyofanyika huko Helsinki, Finland. Shahanga alishika nafasi hiyo baada ya kukimbia mbio za mita 10,000 kwa kutumia dakika 28:01:93.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Gidamis Shahanga amshauri Waziri Nape
Bingwa mara mbili wa Jumuiya ya Madola, Gidamis Shahanga amemshauri Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kuwa tayari kushaurika na kutumia mawazo ya wataalamu wachache wa michezo waliopo nchini ili kuirudisha sekta hiyo katika rekodi iliyowahi kuiweka zamani.
11 years ago
Mwananchi26 Jun
RIADHA: Ikangaa awalipua wanariadha
Mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa, amesema wanariadha wengi wa Tanzania wanaponzwa na kutokuwa wakweli, huku akibainisha kuwa kutokuwapo kwa mkimbiaji wa mbio ndefu, Samson Ramadhan kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola msimu huu ni pigo kwa Taifa.
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Ikangaa: Wanariadha wamuenzi Theresia
Bingwa wa zamani wa Afrika wa marathoni, Juma Ikangaa amewataka wanariadha wa Tanzania kumuenzi Theresia Dismas ambaye alikuwa Mtanzania wa kwanza kunyakua medali katika Michezo ya Afrika.
11 years ago
GPLYANGA WAISHANGAA CECAFA
Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazil, Coutinho (7) akipasha na wenzake. Uongozi wa klabu ya Young Africans leo umefanya mkutano na waandishi wa habari juu na kusema kilichofanywa na waandaji wa michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kuiondoa timu isishiriki ni cha kushangaza sana na kinadidimiza soka kwa ujumla. Katibu Mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu amesema walipata barua ya mwaliko wa...
10 years ago
Habarileo30 Jul
Wasomi waishangaa Ukawa
WASOMI mbalimbali nchini wamewatahadharisha wananchi kwa kusema nchi haijafikia wakati wa wanasiasa kutaka kushinda uchaguzi kwa gharama yoyote, hata kama hawana misingi ya utawala bora.
11 years ago
Mwananchi30 Sep
Ikangaa apigiwa debe ‘kumrithi’ Malinzi uenyekiti wa BMT
Mwanariadha wa zamani , Juma Ikangaa anatajwa kurithi nafasi ya uenyekiti  wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) baada ya Dioniz Malinzi kumaliza muda wake wa miaka mitatu juzi Jumapili.
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Uongozi Yanga waishangaa TFF kumzuia Okwi
>Uongozi wa Yanga umeshangazwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumzuia mshambuliaji wao Emmanuel Okwi kucheza Ligi Kuu inayoanza kesho.
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Mtibwa Sugar, Prison, Azam waishangaa Simba kutofuata taratibu za usajili
Klabu za Mtibwa Sugar na Prisons zimeutaka uongozi wa Simba ya Dar es Salaam ufuate utaratibu kama unataka kuwasajili baadhi ya wachezaji wao.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania