Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gidamis Shahanga amshauri Waziri Nape

Bingwa mara mbili wa Jumuiya ya Madola, Gidamis Shahanga amemshauri Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kuwa tayari kushaurika na kutumia mawazo ya wataalamu wachache wa michezo waliopo nchini ili kuirudisha sekta hiyo katika rekodi iliyowahi kuiweka zamani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ikangaa, Shahanga waishangaa RT

Bingwa wa Afrika wa 1982, Juma Ikangaa na mshindi wa medali fedha ya Jumuiya ya madola, Gidamis Shahanga wamelishangaa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kushindwa kupeleka timu kwenye Mashindano ya Afrika yanayoendelea nchini Morocco.

 

11 years ago

Mwananchi

Shahanga: Nilikaribia kutwaa ubingwa wa dunia

Mwaka 1983 mwanariadha wa Tanzania, Gidamis Shahanga alikamata nafasi ya tano katika mashindano ya riadha ya dunia yaliyofanyika huko Helsinki, Finland. Shahanga alishika nafasi hiyo baada ya kukimbia mbio za mita 10,000 kwa kutumia dakika 28:01:93.

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Nape ahadi neema tasnia ya filamu

FL1a

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akifanya mahojiano na mwandishi wa Habari wa  Ayo TV alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Filamu ya HOME COMING katika ukumbi wa Century Cenema jana jijini Dar es Salaam.

FL1c

Mmoja wa washiriki katika filamu ya HOME COMING Bw. Issa (Alfa jina alilotumia katika filamu hiyo) akihojiwa na mwandishi wa Habari wa Azam TV Bw. Taji Liundi wakati wa hafla ya uzinduzi wa filamu hiyo jana jijini Dar es Salaam.

FL2a

Mke wa Mhe....

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE AZINDUA FILAMU YA HOME COMING DAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa na mtangazaji mashuhuri wa Azam TV Taji Liundi muda mfupi kabla ya kuzindua filamu mpya ya Home Coming kwenye ukumbi wa Century Cinema ,Mlimani City jijini Dar es Salaam.
 Wadau wa Sanaa na Utamaduni wakisubiri kushuhudia uzinduzi wa filamu mpya ya Home Coming.
 Mmoja wa washiriki wa Filamu hiyo ya Home Coming ,Susan Lewis maarufu kama Natasha
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye na Ayo TV...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI NAPE OFISI KWAKE

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. 

Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Zitazame Picha za Waziri Nape Alivyozindua Filamu ya Home Coming

2Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa na  mtangazaji mashuhuri wa Azam TV Taji Liundi muda mfupi kabla ya kuzindua filamu mpya ya Home Coming kwenye ukumbi wa Century Cinema ,Mlimani  City jijini Dar es Salaam.5Wadau wa Sanaa na Utamaduni wakisubiri kushuhudia uzinduzi wa filamu mpya ya Home Coming.6Mmoja wa washiriki wa Filamu hiyo ya Home Coming ,Susan Lewis maarufu kama Natasha

113Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa muda...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Nape kumwakilisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Tamasha la Krismasi

 WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Michezo na Sanaa, Nape Nnauye anatarajia kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi  linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti  wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama,  Makamu huyo wa rais alitarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo lakini kutokana na majukumu mengine ya kikazi, hivyo tunaendelea na...

 

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …

December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye. Mshambuliaji huyo ambaye anahusishwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji […]

The post Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 … appeared first on...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Habari, Mhe. Nape Nnauye aripoti ofisini, ataja vipaumbele vyake

NAPE AKIKARIBISHWA NA NAIBU WAZIRI -9778

Naibu waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia James Wambura (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIKARIBISHWA NA LILI BELEKO 9798

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIONGEA NA WAANDISHI -9893

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani