RIADHA: Ikangaa awalipua wanariadha
Mwanariadha wa zamani, Juma Ikangaa, amesema wanariadha wengi wa Tanzania wanaponzwa na kutokuwa wakweli, huku akibainisha kuwa kutokuwapo kwa mkimbiaji wa mbio ndefu, Samson Ramadhan kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola msimu huu ni pigo kwa Taifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Ikangaa: Wanariadha wamuenzi Theresia
10 years ago
MichuziMAANDALIZI YA KILIMANJARO MARATHONI YAPAMBA MOTO,KLABU YA RIADHA YA HOLILI YAPELEKA WANARIADHA WAKE MAZOEZINI KENYA
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-veB6RlxRkT0/VUIxV4_cSaI/AAAAAAAHUSY/CxpI7HjVtIA/s72-c/New%2BPicture.png)
KLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-veB6RlxRkT0/VUIxV4_cSaI/AAAAAAAHUSY/CxpI7HjVtIA/s1600/New%2BPicture.png)
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Ikangaa, Shahanga waishangaa RT
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Ikangaa apigiwa debe ‘kumrithi’ Malinzi uenyekiti wa BMT
11 years ago
Habarileo18 Apr
Lukuvi awalipua CUF
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, amesema, si makosa raia wa Tanzania kuhofia majeshi ya ulinzi kuchukua nchi ikiwa muundo wa Muungano wa serikali mbili ukibadilishwa na kuwa serikali tatu.
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Kingunge awalipua CCM
MWANASIASA mkongwe na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombale – Mwiru, amesema makada wenzake wanaomshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, wanakitukana Chama...
11 years ago
Habarileo10 Apr
Mzindakaya awalipua Ukawa
MWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya ameutupia kombora Umoja wa Katiba ya Watanzania - nje ya Bunge Maalumu (Ukawa-nje) kwa kuzungumzia mjadala wa katiba nje ya Bunge Maalumu na kuita kitendo hicho kuwa ni uhaini wa kisiasa.
10 years ago
Habarileo23 Dec
Utouh awalipua wabunge
ALIYEKUWA Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema baadhi ya wabunge hawazijui sheria walizozitunga na hivyo kujikuta wakitoa maamuzi ambayo hupingana na sheria hizo.