Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Infinix S5PRO KUTUA NA SIFA MPYA BONGO

Eti Infinix S5pro kuja na sifa tofauti? Kuna madai kwamba Infinix S5pro imechelewa kufika katika soko la Bongo chanzo kikijulikana kama janga la CORONA, na katika kuleta sawa bana ya wateja wa Infinix, Kampuni ya simu ya Infinix imeona si vyema endapo wadau wa Infinix Bongo kupokea Infinix S5pro yenye sifa sawa na zilizopo sokoni kwa sasa nchini India na Pakistani.
Lakini vile vile chanzo chetu kimesema vionjo vilivyofanyiwa kazi kwenye Infinix S5pro vimetokana na comment za wateja kupitia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA MURUA, IFAHAMU INFINIX S5pro YENYE SELFIE YA JUU

TEKNOLOJIA  inaendelea kukua kwa kasi katika uzalishaji wa simu janja na Infinix Imethibitisha hili kupitia toleo jipya la Infinix S5pro iliingia sokoni mapema mwezi huu. Infinix S5pro ni simu ya kwanza kwa kampuni ya Infinix kuwa na teknlojia ya pop up camera.
 Fahamu mengi zaidi ya Infinix S5pro;Simu hizi zina RAM zenye ukubwa tofauti wa 4GB na 6GB hivyo itakuwezesha kufungua programu au kufanya mambo mbalimbali kwa wakati mmoja bila kukwama kwama, na uwezo wake wa kuhifadhi taarifa (video,...

 

5 years ago

Michuzi

Infinix KUIPAMBA VALENTINE KWA UZINDUZI DUKA LA PILI LA KISASA-Infinix Smart Hub


KATIKA Kusheherekea sikukuu ya wapendanao, kampuni ya simu, Infinix Mobile Tanzania imezindua rasmi duka Jipya, maarufu kama Infinix Smart Hub, lililopo China Plaza Kariakoo. Hili ni duka la pili la kuzinduliwa na kampuni hiyo huku lengo kuu ni kuwafikia wateja wake kwa urahisi zaidi.Katika uzinduzi huo Afisa wa mahusiano wa kampuni ya simu ya Infinix, Aisha Karupa amevieleza vyombo vya habari kuwa, “Infinix imejipanga vizuri katika kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa wateja wetu wa maeneo...

 

5 years ago

Michuzi

INFINIX KUJA NA BIGI MAKINI, INFINIX NOTE 7

KAMPUNI pendwa ya simu Tanzania, Infinix Mobility iko mbioni kuleta simu yenye hadhi ya juu-NOTE 7 na kupewa jina la BIGI MAKINI kutokana na kioo chake kuwa na size kubwa 6.95inch na uwezo mkubwa wa camera 48MP na processor ya G70 kutoka Mediatek.
Processor yenye speed ya G70 inauwezo mkubwa wenye kuwezesha matumizi mbali mbali kwa wakati mmoja bila kuchoka, NOTE 7 inatumia OS mpya kutoka Google, Android 10. Simu hii haitazinduliwa rasmi kama utaratibu wao ulivyozoeleka lakini kupitia...

 

9 years ago

GPL

DOKTA FADHILI KUTUA BONGO

Mwandishi Wetu DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dokta Fadhili Emily ambaye pia ni mfadhili mkuu wa zawadi mbalimbali zinazotoka kwenye Magazeti Pendwa ya Global Publishers, amefunguka kuwa anatarajia kutua nchini akiwa na utaalamu mpya ambao utawasaidia watu kuweza kupata watoto mapacha wa jinsia wanayotaka na wanataka wafanane na baba au mama.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1JuCh2s ...

 

11 years ago

GPL

YEMI ALADE KUTUA BONGO LEO

Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Mkali wa ngoma ya Johnny, Yemi Alade, hatimaye anatarajiwa kutua Bongo saa tano usiku, leo Jumanne, Agosti 5, 2014 tayari kwa kukinukisha kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini ambalo limebakiza siku chache kabla ya kutimua vumbi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Mkali wa ngoma ya Johnny kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade. Akipiga stori na Showbiz, mratibu wa tamasha hilo,...

 

11 years ago

Mwananchi

awataka wasanii Bongo fleva kuwa makini na kuacha sifa ili kusonga mbele

Tanzania imejaaliwa kuwa na vipaji vya wanamuziki wengi wa miondoko ya kila aina na baadhi yao wakifanya kazi zaidi ya moja katika fani hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Sifa za ziada za Spika mpya

BAADA ya kupatikana kwa Rais mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli, anayetarajiwa kuapishwa Alhamisi ijayo, macho na masikio ya Watanzania, sasa yanaelekezwa kwa kiongozi wa mhimili wa Bunge, Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Ngono; sifa mpya inayotawala vyuo-2

>Hali kwa ujumla ni mbaya hasa katika baadhi ya vyuo. Rushwa ya ngono iko juu mno kiasi cha kukatisha tamaa. Mwalimu akimtaka mwanafunzi na akakataa, basi mwanafunzi huyo ajue kwamba ataambulia kufelishwa katika mitihani yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani