Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INI EDO AUCHAPA USINGIZI AKIWA UWANJA WA NDEGE

Ini Edo akiwa kauchapa usingizi. MWIGIZAJI wa Nollywood, Iniobong Edo maarufu kwa jina la Ini Edo ametupia Instagram picha yake akiwa ameuchapa usingizi katika uwanja wa ndege wakati akisubiri kusafiri kwenda mapumzikoni. Ini akiwa uwanja wa ndege kabla ya kuuchapa usingizi. Staa huyo wa Nigeria, hakueleza alikuwa anaelekea wapi lakini amesema anakwenda mapumziko na aliwaeleza mashabiki wake kuwa alikuwa na uchovu na usingizi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

INI EDO AFUNGUA BONGE LA UKUMBI!

Mimz Lounge ya In Edo MREMBO asiyechuja kunako filamu Nollywood, Ini Edo amezidi kujiongezea utajiri baada ya juzikati kufungua bonge la klabu na kulipa jina la Mimz Lounge. Staa wa filamu za Nollywood, Ini Edo Staa huyo alizindua mjengo wake huo pande za Lekki, Lagos, Jumatatu iliyopita na umeshaanza kutumika rasmi kuanzia juzi Jumatano. Mbali na klabu hiyo, pia kuna sehemu ya nyumba za kulala wageni… ...

 

10 years ago

GPL

UKARIBU WA INI EDO, JIM IYKE MMH!

Staa wa Nollywood, Ini Edo. Lagos Nigeria LICHA ya kutambulika kuwa hawana uhusiano wa kimapenzi, lakini ukaribu wa waigizaji wa Nollywood, Ini Edo na Jim Iyke umesababisha tetesi kuenea kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi au wanaelekea wenye ulimwengu huo. Waigizaji wa Nollywood, Ini Edo na Jim Iyke wakiwa kwenye pozi. Wiki hii, Ini Edo alipiga picha akiwa na Jim na kuandika maneno ya kumsifia na kusema kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

INI EDO SPENT SUNDAY CRUISING ON BOAT


Monday May 18, 2015 – Pictures: Ini Edo Flaunts Sexy Bikini Body, Spent Sunday Cruising On Boat
Less than a year after her bitter divorce, Nollywood actress Iniobong Edo has decided to take a new lease on life.
With every passing day, the actress seems to be enjoying life more unlike when she was married to her Americana husband.
Yesterday, she spent the whole day cruising with her bestie, Blessing Dim who celebrated her birthday last week.
Check out new photos of Ini taking in fresh air during...

 

10 years ago

GPL

INI EDO AKOSOLEWA NA MASHABIKI KWA KUJIREMBA ‘VIBAYA’

Staa wa filamu nchini Nigeria, Ini Edo. Lagos, Nigeria STAA wa filamu nchini Nigeria, Ini Edo, majuzi alijikuta mashabiki wake wakimtoa makosa kutokana na alivyokuwa amejiremba. Mashabiki wake hao wanakumbuka pia kwamba mnamo mwaka 2012 wakati wa kuzindua filamu yake na Emem Isong, mwigizaji huyo alionekana kama alikuwa amejiremba harakaharaka. Jana wakati wa uzinduzi wa filamu za kituo cha televisheni cha MNET jijini Lagos,...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo hutokea mhusika akiwa usingizi,hivyo hushindwa kujizuia

Kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, kukojoa kitandani au kujikojolea ni jambo la kawaida. Lakini vijana na watu wazima kujikojolea kitandani mara kwa mara siyo jambo la kawaida katika jamii. Watu wenye tatizo hili hujulikana kama vikojozi.

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE

Watendaji wa mashirika ya ndege nchini wameiomba Serikali kupanua Barabara ya Nyerere ili kuwawezesha abiria wanaosafiri kwa ndege kuwahi usafiri kufuatia ongezeko lao kubwa na la ndege pia linalotarajiwa  kufuatia kuwepo kwa jengo jipya la abiria (TB III) linalotarajiwa kukamilika mwaka 2016.
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa  ni moja ya...

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR

Kazi ya ujenzi wa mradi mkubwa wa eneo la maegegesho ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar zimeanza kupamba moto baada ya kusita kwa muda mrefu.

Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.

Makamu wa Pili wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO


Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipakia mizigo kwenye ndege mara baada ya kuongoza mapokezi ya ndege ya mizigo aina ya 787-Dreamliner mali ya shirika la ndege la Ethiopia katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimajaro (KIA) tarehe 17 Aprili 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb), Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro Mhe Anna Mghwira na Afisa Mtendaji Mkuu wa TAHA Dkt Jacqueline Mkindi wakijadili jambo wakati wakikagua uwanjani hapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani