Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Iran wahimizwa matumizi ya mitandao

Raisi wa Irani,Hassan Rouhan,amewataka wananchi wake pamoja na masheikh kujifunza zaidi masuala ya mitandao ya kijamii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAHIMIZWA MATUMIZI YA INTANETI

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto) akionesha moja ya simu aina ya Vodafone 875 yenye mfumo Adroid inayopatika sasa kwa bei ya shilingi 100, 000/- katika maduka yote ya kampuni hiyo. Simu hiyo ni ya kisasa iliyounganishwa na 3G mteja anaweza kuperuzi mitandao ya Facebook, WhatsApp, Twitter, Viber, na Instagram. Pamoja naye ni Mkuu wa Idara ya bidhaa kwa wateja wa Vodacom Tanzania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Wafundisheni wanafunzi matumizi bora ya mitandao’

WALIMU mkoani hapa wametakiwa kushirikiana na wazazi katika kuwafundisha wanafunzi matumizi mazuri ya mitandao hususan simu za mikononi katika mazingira yasiyoharibu maadili yao. Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu darasa la...

 

10 years ago

StarTV

Waliochaguliwa Serikali za Mitaa wahimizwa kusoma mapato na matumizi.

Na Mbonea Herman, Tanga.

Wenyeviti wa serikali za mitaa wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwasomea wananchi taarifa za mapato na matumizi ili kuondokana na migogoro mingi iliyojitokeza kipindi kilichopita kutokana na kuwepo kwa dosari hiyo.

 

Wito huo ulitolewa na Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Tanga, Mery Chatanda wakati wa kuwapongeza viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Korogwe  mjini mara baada kushinda uchaguzi huo kwa asilimia mia moja.

 

Viongizi wa serikali za mitaa kutoka vijiji...

 

10 years ago

Michuzi

TAHADHARI MUHIMU DHIDI YA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO

Kumekua na wimbi la uhalifu Mtandao aina ya (Clickjacking unao fanana na cross-site scripting) - Unao sambaza picha zisizo rafiki katika walls za wengine ( Mara nyingi Muhusika anakua haoni hadi aambiwe) Ushauri ni Kua Uonapo Video Hizo Mjulishe muhusika ili aweze kubadili Password yake na kutoa taarifa facebook.

Pia Wewe uonae Usi Click (Bonyeza) kwani Kwa kufanya hivyo na wewe utakua umeathirikia.

Siku Njema - Yusuf Kileo

Hapo chini kuna post Mbili zenye Picha Tofauti katia Facebook ikiwa ni...

 

10 years ago

GPL

WASANII WASISITIZWA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Mdau wa Sanaa Henry Mdimu (Kulia) akisisitiza umuhimu wa kuwa na mitandao ya kijamii kwa wasanii (hawapo pichani) katika Jukwaa la Sanaa la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Kushoto ni Afisa Sanaa wa BASATA, Augustino Makame. Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristides Kwizela (Kulia) akisisitiza jambo kwa Wasanii (Hawako pichani) wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika mapema wiki kwenye Ukumbi wa Baraza hilo...

 

10 years ago

Habarileo

Matumizi mabaya ya mitandao inashusha maana ya mawasiliano

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John NkomaUTUMIAJI mbaya wa huduma za simu na mtandao unaofanywa na baadhi ya Watanzania ndio chanzo cha mambo ya hovyo na yasiyo ya maadili katika huduma ya mawasiliano.

 

10 years ago

Mtanzania

Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao

yusuphNA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani