Iringa waonywa ‘vishoka’ wa maji
MAMLAKA ya majisafi na majitaka Manispaa ya Iringa (Iruwasa), imewaasa wananchi kuwa makini na uunganishaji maji kinyemela kwenye mtandao wa huduma hiyo kuepuka usumbufu na sheria kali zitakazochukuliwa dhidi ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima06 Oct
Wakandarasi Iringa waonywa
WAKANDARASI mkoani hapa wametakiwa kufanya kazi zao kwa kuzingatia sheria, ubora na ujuzi unaokidhi viwango vya kimataifa huku wakitanguliza uzalendo katika kutekeleza miradi ya maendeleo wanayokabidhiwa na halmashauri husika. Rai...
9 years ago
StarTV19 Aug
Visima vya maji Iringa vyatajwa kusababisha vifo
Kukithiri kwa visima vya maji katika eneo la Changalawe mjini Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kumetajwa kusababisha vifo visivyo vya lazima kwa wananchi kutokana na eneo hilo kutokuwa na huduma ya maji ya bomba.
Umuhimu wa huduma ya maji unawalazimu wakazi wa Changalawe kubuni njia mbadala ya kupata maji jirani kwa kuchimba visima nje ya nyumba zao jambo ambalo limetajwa kuhatarisha maisha mara kwa mara.
Baadhi ya visima hivyo vinaurefu zaidi ya futi 15 kwenda chini, jambo ambalo ni...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/cVE59-cYAqs/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)
Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]
The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Habarileo14 Apr
Tanesco yaonya kuhusu vishoka
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limewatahadharisha wananchi kuwa makini na matapeli, wanaochukua fedha zao kwa kuwadanganya kuwa watawafungia umeme kwa haraka.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFUEdV3IwoSj1gV9EHFfaWn4JGfCORMJx*Ew7qfFmTOHUbEVaAj*XGaiHGH3SgztbMjIWSeeN*AeCXcCbnM2j6rF/4cfcPublicServicePensionFundPSPF.jpg)
TAARIFA YA VISHOKA KUTOKA PSPF
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’
5 years ago
MichuziNIDA YAWATAKA WANANCHI KUEPUKA VISHOKA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewaasa wananchi kuacha kutumia njia na watu wasio rasmi kisheria maarufu kama vishoka wakati wa mchakato wa kuomba Vitambulisho vya Taifa badala yake wafuate utaratibu rasmi uliowekwa na Serikali katika kuomba Vitambulisho hivyo.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bw. Geofrey Tengeneza kufuatia tukio la mwananchi mmoja (Jina limehifadhiwa) mkazi wa Kigogo fresh jijini Dar es salaam kufika ofisi ya...