Islamic State yateka mji wa Ramadi
Waziri mkuu nchini Iraq Haider al-Abadi, anasema hawezi kuruhusu mji wa Ramadi kuingia mikononi mwa wanamgambo wa islamic state
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Islamic State waendelea kushambulia Ramadi
Wapiganaji wa IS wameendelea kushambulia maeneo yaliyo karibu na mji wa Ramadi wiki moja baada ya jiji hilo kukombolewa na wanajeshi wa Iraq.
9 years ago
BBCSwahili22 Dec
Iraq yazingira Islamic State mjini Ramadi
Iraq inasema kuwa vikosi vyake vimeanzishaharakati za kukomboa mji wa Ramadi, ulioko chini ya udhibiti wa Islamic State
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Islamic State waharibu mji wa Nimrod
Wanamgambo wa Islamic State wametoa kanda ya video ikiwaonyesha wakiharibu maeneo ya thamani kubwa mjini Nimrod nchini Iraq.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Islamic state yaharibu mji wa Nimrud
Iraq yadai wapiganaji wa IS wanaendelea kuharibu mji wa kihistoria wa Nimrud Iraq.
10 years ago
BBCSwahili18 May
IS wauteka mji wa Ramadi
Baada ya mapigano makali kwa siku kadhaa katika mji wa Ramadi nchini Iraq,hatimaye yamesababisha kushikiliwa kwa mji huo.
10 years ago
BBCSwahili19 May
Mji wa Ramadi watorokwa Iraq
Maelfu ya raia wa Iraq wanaendelea kuukimbia mji wa Ramadi huku kundi la wanamgambo wa Islamic State likiwazuia na kuendeleza mashambulizi
10 years ago
BBCSwahili23 May
Watu 40,000 waukimbia mji wa Ramadi
Mratibu wa huduma za Umoja wa mataifa nchini Iraq amesema kuwa huenda takriban watu 40,000 wameukimbia mji wa Ramadi
10 years ago
BBCSwahili16 May
Boko Haram yateka mji wa Marte
Wanamgambo wa kiislamu wa kundi la Boko Haram wameuteka tena mji ulioko mpakani wa Marte kulingana na naibu gavana wa jimbo hilo
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania