Israel:Mpalestina aliyesusia chakula yu mahututi
Mpalestina aliyefungwa nchini Israel ambaye amesusia chakula kwa takriban siku 60 amepoteza fahamu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Israel:Mpalestina aliyewashambulia polisi auawa
Polisi wa Israeli wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamume Mpalestina mjini Jerusalem baada ya kujaribu kuwashambulia.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/129.jpg)
MPALESTINA ALIYEWASHAMBULIA POLISI AUAWA
Mwanaume Mpalestina (mwenye jaketi la njano) mjini Jerusalem akimshambulia polisi wa Israel kwa kisu. ...Akiendelea kumchoma kwa kisu polisi. Polisi wakimuokoa mwenzao katikati baada ya kuchomwa kisu na mwanaume huyo.…
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
Mwanaharakati Mpalestina aachiwa huru
Mwanaharakati wa kipalestina Khader Adnan ameachiwa kutoka gerezani na utawala wa Israel
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Mwanamke mpalestina auawa na Waisraeli
Polisi wa Israili wanasema kuwa Mpalestina amepigwa risasi na kuuawa,kwa kumdunga kisu askari wa Israeli
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Dereva Mpalestina awagonga Waisraeli
Polisi nchini Israeli wanasema kuwa dereva ambaye anaaminiwa kuwa Mpalestina amevurumisha gari katikati ya kundi la watu.
10 years ago
BBCSwahili08 Aug
Babake mtoto Mpalestina aliyechomwa, ameaga
Babake mtoto wa kipalestina aliyechomwa moto hadi akafa na walowezi wa kiyahudi katika eneo la (West Bank) ameaga dunia.
9 years ago
BBCSwahili07 Sep
Mama Mpalestina aliyechomwa aaga dunia
Mama Mpalestina aliyechomwa moto na walowezi wa kiyahudi ameaga dunia.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Waisraeli waliochoma moto Mpalestina kuhukumiwa
Mahakama moja nchini Israel imewapata waisraeli wawili na hatia ya kumuua kijana wa kipalestina mwaka wa 2014.
10 years ago
BBCSwahili10 Dec
Waziri mpalestina auawa katika maandamano
Waziri wa Palestina amefariki kufutia mgogoro na wanajeshi wa Israel katika maandamano yaliyofanywa katika Ukingo wa Magharibi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania