Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IS:Yadungua ndege ya jeshi la muungano

Wapiganaji wa Islamic State nchini Syria wamedai kuidungua ndege ya kivita ya muungano wa jeshi unaoongozwa na Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uturuki yadungua ndege mpaka wake na Syria

Ndege za kijeshi za Uturuki zinaripotiwa kudungua ndege ya kijeshi isiyojulikana karibu na mpaka wake na Syria.

 

10 years ago

GPL

NDEGE ZA MUUNGANO ZA KIVITA DHIDI YA DAESH ZAUA 66 SYRIA

Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Syria zimefanya mashambulio katika maeneo kadhaa na kuua raia 66 wa nchi hiyo. Harakati ya Kutetea Haki za Binadamu iliyoko nchini Uingereza inayoitwa Syrian Observatory for Human Rights 'SOHM' imeeleza kuwa, raia 66 wa Syria wakiwemo watoto 10 na wanawake 6 wameuawa katika mashambulio yaliyofanywa na ndege za kivita za muungano...

 

9 years ago

Habarileo

Jeshi Stars wajitoa netiboli Muungano

TIMU ya Jeshi Stars imejitoa kushiriki mashindano ya netiboli ya Muungano inayotarajia kuanza Jumanne kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini hapa.

 

10 years ago

GPL

NDEGE YA JESHI YAANGUKA MWANZA, RUBANI ANUSURIKA

Muonekano wa ndege ya ndege ya jeshi baada ya kuanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza.(Picha na Mtandao)
NDEGE ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kusambaratika  wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu. Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege… ...

 

9 years ago

GPL

NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12

Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules iliyoanguka. Ramani inayoonesha eneo ambapo ndege hiyo ilipata ajali. Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules imeanguka usiku wa leo katika Uwanja wa Ndege wa Jalalabad nchini Afghanistan na kuua watu 12. Kanali wa jeshi la Marekani Brian Tribus ameiambia AFP kwamba watao kati ya waliokufa walikuwa wanajeshi wa Marekani, watano walikuwa raia wa… ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Atlas V rocket: Jeshi la Marekani lapeleka ndege ya siri katika anga za juu

Ndege hiyo ilipaa kuelekea anga za juu kutoka eneo la Cape Canaveral siku ya Jumapili.

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka, akiteta jambo na Balozi wa Nchi za Falme za Kiarabu(United Arab Emirate) nchini Tanzania, Balozi Abdullah Ibrahim Al Suwaidi, kabla ya Uzinduzi wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana. Magari ya Zimamoto yakimwaga maji kuashiria uzinduzi na ukaribisho wa Safari za Ndege ya Shirika la Ndege la Etihad la Nchini Abu Dhabi, leo mchana katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani