Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAFO: KUKAMILIKA OFISI ZA TARURA TUTAOKOA SH MILIONI 500 TULIZOKUA TUKILIPA KAMA KODI


Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema kukamilika kwa ujenzi wa jengo la ofisi za Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma kutaokoa zaidi ya Sh Milioni 500 ambazo zilikua zikitumika kama kodi kila mwaka.

Hayo yameelezwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Selemani Jafo baada ya kukagua ujenzi wa jengo hilo la ghorofa mbili ambalo amesema limejengwa kwa fedha za ndani.

Amesema kukamilika huko kwa ofisi hizo tena kwa kutumia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI JAFO AAGIZA WATENDAJI WOTE WABABAISHAJI TARURA WACHUKULIWE HATUA

Charles James, Michuzi TV

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (Tarura), Victor Seff kuwachukulia hatua watendaji wote wababaishaji kwenye ngazi ya Mikoa na Halmashauri.

Jafo amesema kuna watumishi katika ngazi za Mikoa ambao wamekua wakikwamisha spidi ya wakala huo katika kuwaletea maendeleo watanzania.

Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo jijini Dodoma wakati wakati akiizindua rasmi Bodi  ya Ushauri ya Tarura ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAKWIMU WAJINYAKULIA MILIONI 3 KAMA MOTISHA YA UTUMISHI ULIOTUKUKA

  Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa zawadi ya pesa kiasi cha milioni 3 kwa kila mmoja wa wafanyakazi wake wake waliofanya vizuri kazini kwa mwaka 2014/15 (PICHA NA JOHN BANDA)

 

5 years ago

Michuzi

TAMISEMI YAKAMILISHA UJENZI WA JENGO LAO LA OFISI KUU, MAKAO MAKUU YA TARURA

OFISI ya Rais TAMISEMI imejidhihirisha kwamba ni Ofisi ya wananchi kwa kuamua kufanya mambo magumu ambayo kwa jicho la kawaida unaweza kusema hayawezekani.

Hii imejidhirisha baada ya Waziri anayeongoza wizara hiyo kuwapongeza watu wake kwa kufanikisha ujenzi wa majengo mawili ya Kisasa katika Mji wa Serikali.

Majengo hayo ni jengo la Ofisi kuu ya TAMISEMI  na jengo la Makao Makuu ya TARURA.

Majengo hayo ambayo yamejengwa kwa maelekezo na usimamizi wa Waziri Jafo yamekuwa ni kivutio kikubwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jafo atoa milioni 71 kukamilisha miradi ya maendeleo

MBUNGE wa Kisarawe, mkoani Pwani, Selemani Jafo (CCM) ametoa shilingi milioni 71 kwa ajili ya kukamilisha baadhi ya miradi ya maendeleo jimboni humo ikiwemo ujenzi wa maabara unaoendelea katika shule...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KATIKA MJI WA SERIKALI, AFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA NA OFISI ZA ZIMAMOTO MAKOLE JIJINI DODOMA, LEO

 Rais Dk. John Magufuli akiendesha moja ya pikipiki ambazo alizikabidhi kwa Maafisa Tarafa wa nchi nzima katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi za Makao Makuu ya TARURA mjini Dodoma
 Rais Dk. John Magufuli akipiga akizindua jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo
 Rais Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika katika ujenzi wa Barabara za lami yenye jumla ya km 51.2...

 

11 years ago

Michuzi

Mradi wa bomba la gesi asilia kukamilika kama ilivyopagwa - Profesa Muhongo

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joseph Simbakalia akimkaribisha Waziri wa Nishati na Madini pamoja na ujumbe alioambatana nao akiwemo balozi wa China nchini Bw…. Mara baada ya kufika ofisini kwake kuelezea uwepo wapo katika mkoa huo

 Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe John Simbakalia  akimweleza Waziri wa Nishati na Madini jambo linalohusu sekta ya umeme ambapo Prof. Muhongo anaisimamia ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mkandarasi anayehusika na usambazaji wa umeme vijijini Bwana  Luta (mwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani