Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAGUAR ACHELEWA KUINGIA UKUMBINI NA KUSABABISHA MANUNGUNIKO KWA WABEBA BOX HUKO ATLANTA


Msanii wa kenya Jaguar
Mwanamuziki wa Kenya Charles Njagua kanyi anayejulikana kama 'Jaguar' alitarajiwa kuwatumbuiza raia wa Atlanta nchini Marekani siku ya ijumaa lakini hakuonekana hadi asubuhi ya siku ya jumamosi na hivyobasi kuwawacha mashabiki wake wakisikitika.Kulingana na gazeti la Daily Nation nchini Kenya, msanii huyo ambaye alitarajiwa kuanza kuwatumbuiza mashabiki hao mwendo wa saa nne usiku aliwasili katika jukwaa saa nane na nusu alfajiri wakati ambapo mashabiki walikuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

July 4th weekend yafana huko Atlanta, GA

 Watanzania wakishereheakea uhuru wa Marekani kwa nyama choma Atlanta, GA.
 Kutoka kushoto, Oswald, Evans, na Geofrey wakibadilishana mawazo wakati wa nyama choma.
 Geofrey 'host' akichoma nyama.

 Queen akiwasili katika nyama choma hiyo.
 Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI






































 

10 years ago

Vijimambo

LB YAIKARIBISHA VIJIMAMBO ATLANTA KWA MNUSO WA KIMTINDO


Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akifanya matayarisho kwa ajili ya wageni wake aliowakaribisha kwenye mnuso mdogo aliofanya kuipongeza Timu ya Vijimambo kwa kazi ya kuhabarisha jamii inayofanya siku ya Jumamosi Februari 28, 2015 katikati ya jiji la Atlanta jimbo la Georgia.Linda Bezuidenhout Ceo wa LB akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake kushoto ni Meck Khalfan Ceo na Co Founder wa PUKU Mtanzania aliyegundua mashine ya chaja ya kubeba inayo chaji simu ya kiganjani.Linda Bezuidenhout Ceo...

 

11 years ago

Bongo5

Zitto Kabwe apongeza nguvu ya mitandao ya kijamii kwa kusababisha kusitishwa kwa ajira katika idara ya uhamiaji

Nguvu ya mitandao ya kijamii hususan Facebook, Twitter na forums mbalimbali, inafahamika kwa kusababisha mashinikizo makubwa kwenye serikali nyingi duniani. Mfano hai ni jinsi mitandao hiyo ilivyopelekea idara ya uhamiaji kusitisha ajira zake. “Uamuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani kusitisha ajira ya idara ya uhamiaji ni hekima sana. Hii pia inaonyesha nguvu ya social […]

 

11 years ago

Mwananchi

Jaguar; mwanamuziki milionea aliyeanza kwa kuosha magari

Zipo baadhi ya kauli za Wahenga wa Kiswahili ambazo siyo rahisi kutimia au uhaliasia wake kuonekana kwa haraka katika maisha ya kila siku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Muhubiri ashtakiwa kwa kusababisha kifo

Muhubiri mwenye utata James Ng'ang'a ameshtakiwa kwa kusababisha kifo kupitia uendeshaji wa gari vibaya.

 

10 years ago

Mtanzania

DED kizimbani kwa kusababisha hasara ya milioni 24/-

Na Lushishi Robert, Serengeti

TAASISI ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara, imemfikisha mahakamani Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, Goody Kitambo kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka na kuisababisha Serikali hasara ya Sh milioni 24.5.

Kitambo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti akituhumiwa kwa kosa la kutumia vibaya madaraka yake ikiwa ni pamoja na kukiuka sheria ya ununuzi wa umma kwa kuelekeza magari ya halmashauri ya wilaya hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wa jimbo la Georgia na Alabama wakutana kwa hafla ya nyama choma Atlanta, GA

DJ. Dullah akiburudisha wakati wa nyama choma hiyo.Kwa picha zaidi bofya SOMA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

SANDRA NA GEORGE WAKIONDOKA UKUMBINI KWA STAILI YAO

 Sandra na George wakiwaaga wageni wao walipokua wakiondoka ukumbini. Sandra na George wakiwapungia wageni wao waliohudhuria harusi yao walipokua wakiondoka kwa staili yao ya pekee. Sandra na George wakiwa na furaha. Wakielekea kwenye usafiri wao Sandra na George wakishangiliwa kwa vigeregere na vifijo huku wakiimba wanameremeta. Sandra na George wakiwa tayari kwa kuondoka.Familia na Bi. harusi

 

11 years ago

Vijimambo

RAIA WAMSHAMBULIA TRAFFIC WA UBUNGO KWA KUSABABISHA AJALI HIYO NDIYO BONGO


Wananchi waliokuwepo eneo la Ubungo leo mchana wamemshambulia askari wa usalama barabarani kwa kile walichodai kuwa amesababisha ajali. Watu hao walianza kumshambulia askari huyo huku wakimtwanga mangumi na kumchania sare yake ya kazi kama anavyoonekana pichani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani