‘Jaji Makame alikuwa mwanasheria mahiri’
JAJI Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani, amesema Taifa limempoteza Jaji mahiri katika tasnia ya Sheria nchini, ambaye alisifika kwa mambo mengi, ikiwemo kuandika kwa ufasaha hukumu zake, kutokana na umahiri wake wa lugha ya Kiingereza.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Aug
‘Makame alikuwa bingwa wa sheria’
JAJI Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu amemtaja Mwenyekiti wa zamani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lewis Makame kuwa alikuwa bingwa katika masuala ya sheria na mambo ya mahakama Afrika Mashariki na Kati.
10 years ago
Mtanzania19 Aug
Jaji Makame afariki dunia
![Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Lewis Makame.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Jaji-Lewis-Makame.jpg)
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Lewis Makame.
NA WAANDISHI WETU
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Lewis Makame, amefariki dunia.
Taarifa ambazo MTANZANIA ilizipata zinaeleza Jaji Makame alifariki dunia jana katika Hospitali ya AMI Trauma Center, iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.
Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo, MTANZANIA lilifika nyumbani kwa marehemu Masaki ambako mmoja wa watoto wa...
10 years ago
Tanzania Daima20 Aug
JK, CHADEMA wamlilia Jaji Makame
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kufuatia kifo cha mwenyekiti mstaafu wa tume hiyo, Jaji Lewis Makame. Taarifa iliyotolewa jana...
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Mwili wa Jaji Makame kuzikwa Tanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jPrLLXuRuu7b1P5yawA8GDWJ9b2Og9sZFrdZi-cDCssDig3PmTUm2hn1IbYY6RxuB*-dBcEqBtI7IpanyGcbrbi9XtGVt5Gs/TUME.jpg)
JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Kumbe Jaji Warioba alikuwa ‘mshereheshaji’?
WAKATI mchakato wa kuandaliwa kwa rasimu ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulipoanza na kuwepo kwa rasimu ya pili iliyokabidhiwa kwa Rais Jakaya Kikwete ndipo nilipojua...
10 years ago
GPLMWILI WA JAJI MAKAME WAAGWA NA KUSAFIRISHWA LEO
10 years ago
Habarileo23 Aug
Pinda aongoza mamia kumuaga Jaji Makame
MAMIA ya watu wakiwemo viongozi wa nyanja mbalimbali nchini, jana walijitokeza kuuaga mwili wa Jaji mstaafu, Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, huku sifa za utendaji wakati wa utumishi wake zikitawala shughuli hiyo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-5rbUr_lCw-4/U_H6EJYyotI/AAAAAAAGAfk/pb9Q9d8c2_I/s72-c/LewisJaji.jpg)
NEWS ALERT: Jaji Lewis Makame afariki Dunia
![](http://3.bp.blogspot.com/-5rbUr_lCw-4/U_H6EJYyotI/AAAAAAAGAfk/pb9Q9d8c2_I/s1600/LewisJaji.jpg)
taarifa kamili itakuja baadae.