Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK, CHADEMA wamlilia Jaji Makame

RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kufuatia kifo cha mwenyekiti mstaafu wa tume hiyo, Jaji Lewis Makame. Taarifa iliyotolewa jana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Jaji Makame afariki dunia

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Lewis Makame.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Lewis Makame.

NA WAANDISHI WETU

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Lewis Makame, amefariki dunia.

Taarifa ambazo MTANZANIA ilizipata zinaeleza Jaji Makame alifariki dunia jana katika Hospitali ya AMI Trauma Center, iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.

Baada ya kupatikana kwa taarifa hizo, MTANZANIA lilifika nyumbani kwa marehemu Masaki ambako mmoja wa watoto wa...

 

10 years ago

GPL

JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA

Jaji Lewis Makame enzi za uhai wake. ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame amefariki dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa.

 

10 years ago

Habarileo

‘Jaji Makame alikuwa mwanasheria mahiri’

JAJI Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani, amesema Taifa limempoteza Jaji mahiri katika tasnia ya Sheria nchini, ambaye alisifika kwa mambo mengi, ikiwemo kuandika kwa ufasaha hukumu zake, kutokana na umahiri wake wa lugha ya Kiingereza.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwili wa Jaji Makame kuzikwa Tanga

Dar es Salaam. Familia ya Jaji Lewis Makame imesema haitasahau namna jaji huyo alivyoijali na kulitumikia taifa kwa uaminifu hadi mauti yalipomfika juzi mchana.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aongoza mamia kumuaga Jaji Makame

MAMIA ya watu wakiwemo viongozi wa nyanja mbalimbali nchini, jana walijitokeza kuuaga mwili wa Jaji mstaafu, Lewis Makame kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, huku sifa za utendaji wakati wa utumishi wake zikitawala shughuli hiyo.

 

10 years ago

GPL

MWILI WA JAJI MAKAME WAAGWA NA KUSAFIRISHWA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisaini kitabu cha maombolezo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo.
Familia ya Jaji Makame wakiwa na huzuni.…

 

10 years ago

GPL

JAJI LEWIS MAKAME KUZIKWA PONGWE, TANGA JUMAMOSI

Marehemu Jaji Mstaafu  Lewis Makame enzi za uhai wake.
Nyumbani kwa marehemu eneo la Masaki, Dar es Salaam.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Jaji Lewis Makame afariki Dunia

 Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde,inaeleza kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini,Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
taarifa kamili itakuja baadae.

 

10 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA JAJI LEWIS MAKAME

Mama Salma Kikwete akimsindikiza Mjane wa Marehemu Jaji Lewis Makame, Mama Mary Makame kuweka udongo kwenye kaburi la mumewe. Mama Salma Kikwete akitoa salamu ya pole kwa wafiwa mara baada ya shughuli ya utiaji udongo kaburini kukamilika.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani