Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jamii isaidie watoto-SA

Jamii na viongozi kwa kada mbalimbali nchini wametakiwa kujenga tabia ya kusaidia na kujitolea katika kazi za jamii hasa kwa watoto wenye mahitaji maalumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL: Jamii isaidie wenye shida nchini

WATU binafsi na taasisi mbalimbali nchini zimetakiwa kuendelea kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu, ili kuwaendeleza na hatimaye waje kuwa na mchango kwa taifa. Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Kigwangalla-Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Dk Hamis Andrea Kigwangalla ndiye Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Pombe Magufuli.

 

10 years ago

Michuzi

FISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA

 Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa mitaani,katikati ni Mkurugenzi wa shirika hilo  Elisha Maghembe.Picha na Mahmoud Ahmad
.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana afungua kikao cha baraza la watoto dodoma

 Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto wakijadili baadhi ya mambo yanayowahusu watoto pamoja na changamoto zinazo wakabili katika kikao cha Kamati Kuu ya Baraza la Watoto kilichofunguliwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana mjini Dodoma.

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana na viongozi wengine akimsikiliza  Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na...

 

11 years ago

Michuzi

JAMII YAASWA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA

 Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita akimkabidhi zawadi Blessing Kikoti mwanafunzi wa darasa la nne aliyefanya vizuri katika masomo yake kwa kuwa wa kwanza katika masomo. Mkuu Mkuu wa Wilaya ya Kilolo Gerald Guninita akihutubia.(picha zote na Denis Mlowe)  Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilolo Ulbad Wampemba akizungumza na watoto na wananchi waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mtoto wa afrika kiwalaya yalifanyika katika ofisi za kijiji cha Ilamba kata ya Dabaga tarafa ya Kilolo...

 

10 years ago

StarTV

Jamii yaaswa kuzingatia haki za watoto.

Na Marcus/Dida,

Mwanza.

 

Watanzania wameaswa kuzingatia haki za watoto za kupendwa, kusikilizwa na kupata stahili zote muhimu ili kupata Taifa lenye watu waliopata malezi mema.

Kukithiri kwa vitendo vya unyanyasaji wa watoto ni mfano mbaya kutoka kwa walezi ambao humsababishia mtoto huyo kuishi maisha ya huzuni na kisasi kwa aliyotendewa.

Ni wito kutoka kwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Mwanza Jude Thaddeus Ruwa’ichi wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Epifania iliyofanyika Parokia ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Jamii yatakiwa kusaidia watoto wa kike Mwanza

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametoa wito kwa jamii nchini kuwasaidia watoto wa kike kukabiliana na changamoto za maisha na kuacha kujiingiza kwenye vitendo viovu.

 

10 years ago

Habarileo

RC aitaka jamii kushiriki vita ajira kwa watoto

MKUU wa Mkoa Kigoma, Issa MachibyaMKUU wa Mkoa Kigoma, Issa Machibya amesema kuwa tatizo la utumikishwaji wa watoto nchini halitakwisha kama jamii haitakuwa tayari kushiriki kikamilifu katika kupiga vita ajira za watoto.

 

10 years ago

Vijimambo

DC MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa Mpwapwa. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde (kushoto) akizungumza jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Jacob Erasto Chimeledya wakati wa maadhimisho hayo ya kupinga na kukataa vitendo vcya ukatili kwa watoto.
 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani