Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Japana yaboresha uchumi wa wakulima wa Mpunga Mbeya

Na Amina Saidi,

Mbeya.

 

Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa miongoni mwa mikoa inayotekeleza mkakati wa taifa wa kuendeleza zao la Mpunga National Rice Development Strategy tangu mwaka 2010 wakulima wake hawajafikia malengo ya uzalishaji kutokana na sababu mbalimbali.

Kwa sasa mkoa huo unazalisha wastani wa tani laki tatu na elfu nane mia tatu themanini na tatu (308,383) katika eneo la hekta elfu 52 ambalo ni asilimia 57.7 ya eneo lote linalokusudiwa kwa kilimo hicho.

payday loan in arlington...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Neema kwa wakulima wa mpunga yanukia

Rais Jakaya Kikwete ameahidi kuwatafutia soko la uhakika wakulima wa mpunga, hatua ambayo itaambatana na kuanzishwa kwa hifadhi ya zao hilo katika Ghala la Taifa la Chakula, kama ilivyo kwa mahindi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Uwezeshaji lanufaisha wakulima mpunga

BARAZA la Uwezeshaji Taifa limewanufaisha wakulima wa Mpunga 400 wa Bonde la Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa kuwadhamini kupitia benki ya CRDB tawi la Iringa na Madibira Saccos kupata...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA UWEZESHAJI LAWANUFAISHA WAKULIMA WA MPUNGA

 Anchali Seleman Mmoja wa wakulima wa mpunga katika bonde la Madibira akiandaa mbegu ya mpunga katika kitalu chake baada ya kuwezeshwa na udhamini wa Baraza la Uwezeshaji Taifa kupitia bank ya CRDB pamoja na Madibira Saccos.  Baadhi ya wakulima waliodhaminiwa na serikali kupitia baraza la uwezeshaji la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka baraza hilo.Mmoja ya Mkulima aliyefanikiwa kupata udhamini wa baraza la uwezeshaji akielezea mafanikio yake baada ya udhamini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wa mpunga Igunga kunufaika na mradi wa samaki

WAKULIMA wa zao la mpunga Kanda ya Kati, wanatarajia kunufaika na mfumo mpya wa serikali wa kuwaanzishia ujenzi wa Chuo cha Ufugaji Samaki kwa lengo la kuwaongezea kipato. Mkurugenzi Msaidizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Chiza awahakikishia soko wakulima wa mpunga

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amewahakikishia wakulima wa mpunga wa bonde la Mto Kilombero na wengine nchini kuwatafutia soko lenye tija ndani na nje ya nchi ili kila mkulima wa zao hilo anufaike na kushawishi wengine.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wakulima Mbeya changamkieni fursa’

Wakulima Mkoa wa Mbeya wametakiwa kuchangamkia kilimo cha kibiashara ili waweze kubadili maisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu za Mkoa wa Mbeya kuyumba uchumi wake

Wakati Mkoa wa Mbeya ukitajwa kuwa moja ya mikoa inayozalisha chakula kwa wingi, zipo habari kwamba unaporomoka kwa kasi kiuchumi.

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YAWAFATA WAKULIMA MASHAMBANI MKOANI MBEYA

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)  limeanza  kampeni  ijulikanayo kama NSSF Kwanza ambayo itafanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, Kampeni hiyo imeanza kwa kuwafikia wakulima kwenye vijiji vyao na Mashamba yao  Mkoani Mbeya ili kuweza kuwapa elimu juu ya hifadhi ya jamii na faida zake.
Kampeni hiyo imeanzia kwenye Kijiji cha Iyumpi wilayani Mbozi ambako wakulima wa Kahawa zaidi ya 44 wamejiunga na NSSF. Pia Kampeni hiyo inatarajia kwenda Wilayani Ileje, Vijiji vya Mloo na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakulima Mbeya waneemeka na elimu ya uzalishaji wa mbogamboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa Masoko.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya

Mkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya.

Elimu ikiendelea kutolewa. Vitali na green houses.

Aina Mbalimbali za matunda ambazo zimezalishwa na wakulima kutokana na elimu Bora waliyo ipata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani