JB AZUA UTATA KLABU!
![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpHE4NotdGVBhiT-ozoGi4ArtnJzTH34jyT0P0MziXo4Jk6cD3GhLabSJrnRTuFbt83WIUr4bbbfMj0PifO*bPPx/jb.jpg?width=650)
BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ amezua utata kwenye klabu mpya ya Princess Cassino iliyopo Posta mpya, Dar kufuatia minong’ono kuwa, yeye ndiye mmiliki wake. Hali hiyo ilijitokeza juzi kati kwenye uzinduzi wa klabu hiyo ambapo msanii huyo ndiye alionekana kuwa mwenyeji kwa kukatiza kila mahali. BIG brother wa filamu za Bongo, Jacob Steven ‘JB’ “Hivi, JB ndiye mwenye hii...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm-fqXVBIRGMdDddJoHK943n4hSlfwfEp*M7bnxuZ9dLOrC3oqBIU616Wlj-caY-r-zXjyRwJGJguXgY2KCCRElw/riyama.jpg)
RIYAMA AZUA UTATA HOTELINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdM400xJrKd1qEnJWU0xJVcMk6XQ5MUyyZDOWArMTtM6x56WqfzRcsAOggyvgLGi2eslyDQFIwLEWMDzHZoJJMka/flaviana.jpg?width=650)
FLAVIANA MATATA AZUA UTATA WA UCHUMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQyVEbaOjzQyEAUJTzajEZ8G9Su6LEavz3GnS8743QpHsh3YLp7SRP58NfJsMKlviJnru9qnrhQ8AcCIF4kXBEk/yanga.gif?width=650)
Mhindi aivamia Yanga, azua utata
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]
The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...
9 years ago
Mtanzania15 Oct
JK azua taharuki
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Dk. Slaa azua mapya
SIKU moja baada ya kuibuka hadharani kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kufichua kilichosababisha ang’atuke siasa za vyama, tafrani imezuka Makao Makuu ya chama hicho, kuhusu uamuzi wake huo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, lililotokea jana saa nane mchana, kundi la vijana waliokuwa wamevalia fulana za Chadema lilikwenda ofisini hapo kuutaka uongozi umrejeshe madarakani Dk. Slaa.
Kundi hilo lilijikusanya taratibu...
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Chenge azua mtafaruku
Na Samwel Mwanga, Simiyu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshutumu Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) kuwa alitumia bastola yake kupiga risasi juu kuwatawanya wafuasi wa chama hicho waliokuwa katika ofisi za chama mkoani Simiyu na kuzua taharuki kubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bariadi jana, aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana (BAVICHA), John Heche alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 eneo la Salunda.
Hata hivyo, madai ya...
10 years ago
Mtanzania02 Oct
AG Zanzibar azua tafrani
![Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Othman-Masoud-Othman1.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, jana alitibua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya kuikataa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Baada ya kupiga kura ya hapana, baadhi ya wajumbe walimzomea mwanasheria huyo wakionyesha kutoridhishwa na msimamo wake.
Kutokana na hali hiyo, baada ya Bunge kuahirishwa saa nne asubuhi, askari wa Bunge walilazimika kumtoa bungeni chini...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyVuOup53NdzxQA7IMpZSUEYAtJaaYZd3y71yCnipk3RT51lwm2IDD*HLTyxARBc1tMTUxd5ivUKtGJX*yEbZBDh/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND AZUA KIZAAZAA!