Dk. Slaa azua mapya
SIKU moja baada ya kuibuka hadharani kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa na kufichua kilichosababisha ang’atuke siasa za vyama, tafrani imezuka Makao Makuu ya chama hicho, kuhusu uamuzi wake huo.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, lililotokea jana saa nane mchana, kundi la vijana waliokuwa wamevalia fulana za Chadema lilikwenda ofisini hapo kuutaka uongozi umrejeshe madarakani Dk. Slaa.
Kundi hilo lilijikusanya taratibu...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mhrng7eeJg0g8vXOg-GNwNJiZ2FGxJA8JmPUe9IaEs1fw5xLkMwTMQ1WzyCPzGMrt0NI6XjYGvGeat6xhj7FVEfa291lIfce/MWINGIRA.jpg?width=650)
ANAYEDAIWA KUZAA NA MWINGIRA AZUA MAPYA
10 years ago
GPLSHEIKH SHARIF AZUA MAPYA YA URAIS 2015
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Dk. Slaa aibua mapya IPTL
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni sh bilion 400 badala sh bilioni 306 kama ilivyokaririwa...
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
9 years ago
Mtanzania15 Oct
JK azua taharuki
NA MWANDISHI WETU, DODOMA
RAIS Jakaya Kikwete, amezua taharuki baada ya kutaja idadi kubwa ya wapiga kura waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuliko waliotajwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Akizungumza mjini Dodoma jana wakati wa kilele cha sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru na maadhimisho ya Kumbukumbu ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Rais Kikwete alisema Watanzania wanaotarajia kupiga kura kwa upande wa Tanzania Bara ni milioni 28 na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpHE4NotdGVBhiT-ozoGi4ArtnJzTH34jyT0P0MziXo4Jk6cD3GhLabSJrnRTuFbt83WIUr4bbbfMj0PifO*bPPx/jb.jpg?width=650)
JB AZUA UTATA KLABU!
10 years ago
Mtanzania02 Oct
AG Zanzibar azua tafrani
![Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/Othman-Masoud-Othman1.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, jana alitibua wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, baada ya kuikataa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Baada ya kupiga kura ya hapana, baadhi ya wajumbe walimzomea mwanasheria huyo wakionyesha kutoridhishwa na msimamo wake.
Kutokana na hali hiyo, baada ya Bunge kuahirishwa saa nne asubuhi, askari wa Bunge walilazimika kumtoa bungeni chini...
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Chenge azua mtafaruku
Na Samwel Mwanga, Simiyu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshutumu Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) kuwa alitumia bastola yake kupiga risasi juu kuwatawanya wafuasi wa chama hicho waliokuwa katika ofisi za chama mkoani Simiyu na kuzua taharuki kubwa.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bariadi jana, aliyekuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Vijana (BAVICHA), John Heche alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 eneo la Salunda.
Hata hivyo, madai ya...