Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB: Siasa Sio Vita…Sitaki Utoto Nikitangaza Kazi Zangu

Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen maarufu kama JB ameanza kuathiriwa na vuguvugu za kisiasa katika kazi zake za filamu.

JB ambaye amekuwa akionekana katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi, amejikuta katika wakati mgumu kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupokea matusi na kejeli alipotangaza ujio wa kazi mpya marehemu Adam Kuambiana ambaye anadaiwa alikuwa Chadema.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram JB ameandika:

Narudia tena siasa sio vita…marehemu Adam alikuwa Chadema kuliko wengi wenu,...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu:Napenda Zaidi Ushauri au Maoni Kuhusu Kazi Zangu Na Sio Mwili Wangu

Mwigizaji  wa filamu, Elizabeth Michael“Lulu”ameyasema haya akiwa “GYM” anafanya mazoezi.

“Hii ni Kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki....!
Ningependa zaidi kupokea maoni Au ushauri juu Ya kazi zangu(filamu)nifanye nn,niongeze Nn au nipunguze nn....ushauri wa Mwili WANGU ninaomba mniachie mimi na Doctor pengine....mana tunapoelekea kuna watu mtatupangia mpaka style za kulala vitandani,hamshindwi kusema kwasababu Wewe Kioo cha jamii ukilala chali haipendezi “ Lulu alimaliza.

Wengi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu

SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...

 

9 years ago

GPL

SITAKI SIASA NYUMBANI KWANGU!

Nasema sasa nimechoka na ntamtandika mtu mikwaju muda si mrefu. Nyumba yangu halafu wapangaji ndiyo wananisumbua hivi? Hivi wanajua nyumba hii nilijengaje? Miaka hiyo hapa palikuwa shamba la mpunga nikadunduliza hela nikanunua haka kashamba, kisha wakati huo nikiwa kuli mbeba mizigo pale bandarini ndiyo nikawa nakusanya hela kidogo kidogo mpaka nikajenga kakibanda leo hii imekuwa nyumba, nimewakaribisha hawa ambao hawajui hata...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakombolewa na elimu sahihi sio siasa

Watakombolewa na Ulimwengu mzima unatambua kwamba hakuna nchi iliyowahi kuendelea bila wananchi wake kuwa na elimu. Maendeleo yote yametokana na elimu sahihi iliyojaa maarifa, ubunifu, uwezo mkubwa wa kufikiri na kuvumbua dhana mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Belle 9: Huwa natumia muda mwingi kuboresha kazi zangu

Msanii aliyewahi kutamba na wimbo ‘Nilipe Nisepe’ Abednego Damian, aka Belle 9, amesema huwa anatumia muda mwingi kukaa na kuangaia upungufu aliyonayo katika uboreshaji wa kazi zake, ndiyo maana hutoa nyimbo mara kwa mara

 

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND: MITANDAO YA KIJAMII IMESAIDIA KAZI ZANGU KUWAFIKIA MASHABIKI DUNIA NZIMA

Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz mwenye ‘followers’ 489,881, kwenye twitter watu laki 131, na Instagram watu 291,643, You Tube ‘subcribers’ 76,134.Hii inamaanisha Diamond ni msanii na Mtanzania wa kwanza mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii maarufu.

Pia Diamond amefunguka jinsi mitandao ya kijamii inavyomsaidia katika kuuutangaza muziki wake na lebo yake kwa kumsogeza karibu zaidi na jamii ya watu wanaotumia mitandao hiyo dunia nzima.

 

11 years ago

Michuzi

Hoja ya haja: Viongozi wa Siasa tupatieni katiba ya watu wote sio ya vyama

Mheshimiwa michuzi tunashukulu sana kwa kazi yako ya kutujulisha yanayoendelea TANZANIA leo naomba unipe nafasi niweke ya moyoni mwangu na maoni yangu kuhusu huu mstakabali wa kupata katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania mengi yamekuwa yakisemwa sana kuhusu hii katiba au ni muundo ghani wa muungano tunaoutaka,watu wengi na wana siasa wamesahu kwamba muungano huu na katiba hii ya zamani ndio umetufanya tuwe na undungu  na pia tuwe na amani mpaka hapa tulipo watu wengine...

 

9 years ago

GPL

SIASA MWAKA HUU VITA NZITO!

Imelda Mtema Nivita nzito! Wakati mtifuano wa mastaa wawili wa kike wa sinema za Kibongo ambao huko nyuma walikuwa wakipigia kampeni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Jacqueline Wolper Massawe na Aunt Ezekiel Grayson ukiwa umekolea, kumeibuka balaa lingine la mastaa wawili wa kiume wa tasnia hiyo, Jacob Steven ‘JB’ na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuepuke siasa katika vita dhidi ya ebola

Habari za kifo cha mwanamke mmoja aliyedaiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola, ambacho kilitokea wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, kimeacha maswali mengi yanayohoji kama kweli wataalamu wetu wa afya wamepewa nafasi stahiki katika vita dhidi ya ugonjwa wa ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani