Je, kwa Hili JB na Kampuni Yake ya Jerusalem Wameteleza Au ?
Haya ni maoni ya mwanasheria kijana, Alberto Msando kuhusu makosa ya uandishi wa lugha ya kinegereza kwenye kasha la filamu ya Mzee wa Swaga, iliyotengenezwa na kampuni ya Jerusalem, inayomilikiwa na msanii nguli wa filamu, Jacob Stephen JB. Alberto aliandika haya mara baada ya kupandika picha hiyo ya kwenye kasha na kuandika haya; “Bado ni marafiki zangu tu. Ninachotaka ni sanaa yenu ipendwe na watanzania waithamini. Soko la ndani ni kubwa sana. Ila endapo tu mtazingatia ubora. Najua...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.
SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...
10 years ago
Bongo Movies27 Apr
Kwa Mwaka Huu, Hizi Ndio Movies Kutoka Jerusalem
Kutoka Jerusalem.Filamu inayokuja inaitwa MAHABUSU, washiriki ni marehem Adam Kuambiana, Regina na Ben Kinyaia.
Pia tunatarajia kuachia movie nyingine inaitwa Kalambati Lobo wahusika JB na Diana Kimaro.itafuatiwa na Chale Mvuvi wahusika ni Shamsa Ford,Haji Adam,Mzee Halinikuni Naakombora.
Baada ya hapo natafuta script ya kufungia mwaka.itategemea mwigizaji mnaemtaka kumuona.kazi kwenu.
Kutoka kwenye ukurasa wa JB mtandaoni
9 years ago
Bongo Movies05 Nov
Habari Njema Kutoka Jerusalem Films kwa Wapenzi Na Waigizaji Wachanga wa Filamu
Wapenzi na wadau wa Jerusalem Films tunapenda kuwajulisha kuwa uchukuaji picha wa tamthilia yetu utaanza mwishoni wa mwezi wa 11.
Hii nikutokana na kuingiliwa kwa ratiba kutokana na uchaguzi, waigizaji wengi tutakao wapa nafasi ni wapya, tutatoa utaratibu wa usaili.
Tayari tumepata mkataba mzuri na moja ya Television ya kulipia, vile vile tunajipanga kuwatangazia siku za kuzitoa Chungu Cha Tatu, Chale Mvuvi na Kalambati Lobo.
endelea kufurahia kazi za jerusalem films
Jacob Stephen ‘JB’...
9 years ago
Bongo Movies23 Dec
Wapenzi na Mashabiki wa Jerusalem Films na Bongo Movies kwa Ujumla, Pitieni hapa
Kutoka kwa mkurugenzi wa Jerusalem films, Jacob Stephen ‘JB’
![Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/shamsa-na-baba-haji.jpg)
Shamsa Ford Akiwa na Baba Haji
RATIBA kutoka Jerusalem films, movie yetu itakayo fata baada ya Chungu cha Tattu ni Chale Mvuvi, washiriki ni Shamsa Ford na Haji Adam ‘Baba Haji’, Mzee Halikuniki, Makombora , Mzee Chepuo na wengine. Movie hii ili tengenezewa zanzibar mwaka 2013, movie hii itafuatiwa na Kalambati Lobo, washiriki Diana kimaro na Jacob Stephen. Movie hii ilitengenezwa mwaka 2014. Sasa hivi tuko kwenye maandalizi ya...
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Hii Ndio Sababu ya Kampunti ya Jerusalem Kusimama Kushoot Movies kwa Miaka Miwili
Staa mkongwe wa Bongo movies , Jacob Stephen ‘JB’ambaye pia ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni ya utengenezaji wa filamu ya Jerusalem ameyasema hayo kupitia ukurasa wake mtandaoni.
"Wapenzi wa Jerusalem, tukifanikiwa kumaliza shooting za movie mbili za Watani wa Jadi na ile ya Mzee Majuto.
Tutaanza kushoot tamthilia yetu ambayo itatuchukua muda mrefu mpaka mwakani, hatuna ratiba ya kushoot movie nyingine.kwa mwaka huu na ujao,"JB ameandika.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qd_3V6hDeWY/VXBQZeC1ssI/AAAAAAAHb6M/jJGoy4XNVAQ/s72-c/unnamed%2B%252876%2529.jpg)
KAMPUNI YA SWALA YAGAWA UMILIKI WA ASILIMIA 25 ZA RIBA YA LESENI KWA KAMPUNI YA TATA PETRODYNE LIMITED
![](http://4.bp.blogspot.com/-qd_3V6hDeWY/VXBQZeC1ssI/AAAAAAAHb6M/jJGoy4XNVAQ/s400/unnamed%2B%252876%2529.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Kampuni ya Asas Dairies Ltd kwa mwaka wa tatu mfululizo yashikilia tuzo ya ubora, yazibwaga kampuni kongwe
![](http://lh3.googleusercontent.com/-Hu7bI-xcrDI/VXgzNZhV3pI/AAAAAAAB9kk/CP-0xXS3x-w/s640/blogger-image-1808652216.jpg)
![](http://lh3.googleusercontent.com/-fr4V4xm3ZkM/VXgy6EPLKRI/AAAAAAAB9j8/qCw_lVL3whE/s640/blogger-image--1152033488.jpg)
Medali ,vyeti na tuzo ya ushindi ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.
Vyeti na medali tatu ambazo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda tena.
![](http://lh3.googleusercontent.com/-meOkZRHnyBs/VXgX3u_BcOI/AAAAAAAB9jk/HyLEx-Gjc-c/s640/blogger-image--833356817.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7HckCxKdxYw/U9pfN_I4oKI/AAAAAAAF8DU/NPIuD2Gg21U/s72-c/ekerege-dini+ya+ufisadi.jpg)
Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege
![](http://4.bp.blogspot.com/-7HckCxKdxYw/U9pfN_I4oKI/AAAAAAAF8DU/NPIuD2Gg21U/s1600/ekerege-dini+ya+ufisadi.jpg)
MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...