JE UNAMKUMBUKA DJ TNT JACKSON
Tito Kalumanga aka Dj TNT Jackson, Dj wa enzihizo Msasani Beach Club ambaye kwa sasa anaishi Connecticut nchini Marekani akiwa kwenye picha kama alivyokutwa akiwa jijini New York na kamera ya Vijimambo.
Dj TNT Jackson akipata ukodak na mashabiki zake kutoka kushoto ni Bwn. Edwin Waluye, Mkuu wa Wilaya ya Springfieled, Massachusetts.Dj TNT Jackosn akipata ukodak moment na mashabiki zake kutoka kushoto ni Peter Luangisa, Mr Mayor wa Massachusetts, Biwi Malima na Dj Bilal wa New York
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Unamkumbuka Nyamayao?
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7nTWMnYSq_A/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/gr1mB0eWx2c/default.jpg)
10 years ago
MichuziUnamkumbuka Bingwa wa zamani mbio za mita 400 Tanzania??
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/ZLtuxYaKko0/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/K6ZQKkkjmcI/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
MAKALA: Unamkumbuka Nyamayao? Basi fahamu alipo siku hizi na shughuli anazofanya
Ni yule staa wa kundi la Kaole Sanaa Group, anakiri kwamba shule, familia vilimweka mbali na sanaa ya maigizo.
Dar es Salaam. Kama ulibahatika kutazama tamthilia miaka ya 1990 - 2003, basi jina la Nyamayao na Kibakuli siyo geni masikioni mwako na hata sura zao.
Watoto hawa wawili walikuwa wanaunda familia ya Mhogo Mchungu. Ni familia iliyokuwa na visa vingi hasa baada ya Mhogo Mchungu kutaka kumuoza Nyamayao ilhali alikuwa bado kigori. Hadithi hii ninaikumbuka pindi ninapokutana ana kwa...
10 years ago
BlueRidgeNow.Com30 Jun
Got a Minute? With Judy Jackson
BlueRidgeNow.com
BlueRidgeNow.com
Judy Jackson, 50, of Mill Spring, is a year-round volunteer with Operation Christmas Child, serving as community relations coordinator. She recently returned from a trip to Tanzania, handing out shoebox gifts to children in and around the city of Dar ...