Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unamkumbuka Nyamayao?

Kama ulibahatika kutazama tamthilia miaka ya 1990 - 2003, basi jina la Nyamayao na Kibakuli siyo geni masikioni mwako na hata sura zao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

MAKALA: Unamkumbuka Nyamayao? Basi fahamu alipo siku hizi na shughuli anazofanya

Ni yule staa wa kundi la Kaole Sanaa Group, anakiri kwamba shule, familia vilimweka mbali na sanaa ya maigizo.

Dar es Salaam. Kama ulibahatika kutazama tamthilia miaka ya 1990 - 2003, basi jina la Nyamayao na Kibakuli siyo geni masikioni mwako na hata sura zao.

Watoto hawa wawili walikuwa wanaunda familia ya Mhogo Mchungu. Ni familia iliyokuwa na visa vingi hasa baada ya Mhogo Mchungu kutaka kumuoza Nyamayao ilhali alikuwa bado kigori. Hadithi hii ninaikumbuka pindi ninapokutana ana kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

JE UNAMKUMBUKA DJ TNT JACKSON

Tito Kalumanga aka Dj TNT Jackson, Dj wa  enzihizo Msasani Beach Club ambaye kwa sasa anaishi Connecticut nchini Marekani akiwa kwenye picha kama alivyokutwa akiwa jijini New York na kamera ya Vijimambo.

Dj TNT Jackson akipata ukodak na mashabiki zake kutoka kushoto ni Bwn. Edwin Waluye, Mkuu wa Wilaya ya Springfieled, Massachusetts.

Dj TNT Jackosn akipata ukodak moment na mashabiki zake kutoka kushoto ni Peter Luangisa, Mr Mayor wa Massachusetts, Biwi Malima na Dj Bilal wa New York

 

10 years ago

Michuzi

Unamkumbuka Bingwa wa zamani mbio za mita 400 Tanzania??

Unamkumbuka Morris Okinda? Yule bingwa wa zamani wa mbio mita 400 kuruka viunzi, hivi sasa ndiyo Mkuu wa Polisi (OCD) wilaya ya Monduli.Okinda aliweka rekodi ya mita 400 kuruka viunzi katika mashindano ya Afrika mwaka 1985 jijini Cairo Misri akitumia sekunde 51:20 ambayo kitaifa haijavunjwa mpaka hii leo.Waalifu wakikimbia jamaa akiwepo hawachukui raundi maana alikuwa anawakamata dakika tu maana anakimbiza upepo balaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani