Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je Watanzania Wamechagua Mtu au Chama?

UCHAGUZI Mkuu 2015 umekwisha na Watanzania wamemchagua Dk.

Mwandishi Wetu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

‘chama kimoja, vyama vingi, chama cha mtu mmoja’

NINAANDIKA makala hii nikiwa na masikitiko makubwa mno.

Evarist Chahali

 

10 years ago

Michuzi

KILA MTU AJENGE CHAMA KWA NAFASI YAKE-PROFESA LIPUMBA.

LIP1Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wafuasi wa chama hicho waliojitokeza katika makao makuu ya chama hicho yaliyopo Buguruni jijini Dar es salaam,na kuwaambia kuwa CUF ni Taasisi,hivyo wanachama wote wanatakiwa kukijenga chama hicho wawe na vyeo ama wasiwe na vyeo kazi kubwa ni kukijenga chama cha CUF,Pro Lipumba aliyasema maneno hayo bila kutoa ufafanuzi wa kina.
Profesa Lipumba alitakiwa kuzungumza na waandishi wa habari katika makao...

 

10 years ago

Mwananchi

Za escrow hata kama ni za mtu, deni lingelipwa na Watanzania

Sakata la akaunti ya escrow, ambalo watu wamejichotea fedha kama vile watu wanavyozoa mafuta yaliyomwagika kwenye gari la mafuta lililopata ajali bado lipo midomoni mwa watu.

 

11 years ago

GPL

HUDUMA YA AIRTEL MONEY HATOKI MTU HAPA YAPOKELEWA VYEMA NA WATANZANIA

Wateja wa Airtel wameipongeza kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitiabidhaa na huduma zake kuhusiana na huduma ya Airtel Money kuwa ni bora nasalama nchini. Huduma hii ijulikanayo kama "Hatoki Mtu Hapa" inawawezesha wateja wa Airtel kutuma na kutoa pesa bila makato kwa kununua kifurushi cha wiki au chamwenzi cha Bure Pack  na pia kuwawezesha wateja kutuma pesa kwa nusu gharama ukilinganisha na ziwango vinavyotozwa sokoni....

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA: CCM NI CHAMA PEKEE KITAKACHOENDELEA KUSHUGHULIKA NA WATANZANIA





 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Nyang'hwale Mhe.Hussein Nassoro Amali wakati wa mapokezi katika kata ya Bukwimba wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishukuru kwa mapokezi mazuri kata ya Bukwimba.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wakazi wa kata ya Bukwimba ikiwa sehemu ya ziara yake ya kujenga na kuimarisha Chama mkoani Geita.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

9 years ago

Mwananchi

Macmillan Lyimo: TLP ndiyo chama sahihi kwa Watanzania

Macmillan Lyimo amejitokeza kuwa miongoni mwa Watanzania wanasiasa wanaowania urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania washauriwa kuitumia neema ya gesi kupeleka hifadhi ya jamii kwa kila mtu

DSC_0013

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha, Mh. Aggrey Mwanri, akiendesha shughuli za mkutano huo uliomalizika hivi karibuni katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC).(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na  Mwandishi wetu, Arusha

MTAALAMU mmoja wa masuala ya uchumi anayefanyakazi na Shirika la Maendeleo la Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani