Jeshi kutopendelea pande pinzani Burundi
Jeshi nchini Burundi linasema kuwa litaendelea kuwa na msimamo wa wastani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Feb
Pande pinzani zalaumiwa Sudan Kusini
9 years ago
BBCSwahili22 Dec
Burundi halihitaji jeshi la AU
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Maandamano:Jeshi lasambazwa Burundi
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/CMcp8qCUwAA87Qk.jpg)
MKUU WA JESHI MSTAAFU WA BURUNDI AUAWA
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Tanzania kuzikabili timu pinzani Afrika
9 years ago
StarTV15 Sep
 Watanzania wahimizwa kupuuza taarifa za uzushi zitolewazo na vyama pinzani.
Katika harakati za kuahakikisha Chama cha mapinduzi kinaingia madarakani kwakumwaga sera zao pamoja na kutoa vipaumbele mbalimbali chama hicho kimeonyesha kupuuzia taarifa zinazoenezwa na baadhi ya vyama vya kisiasa hapa nchini wakati wakiwa katika harakati za kutafuta kura
Chama hicho cha mapinduzi kimewahimiza Watanzania kutoshawishiwa na baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kueneza taarifa zisizo na misingi yoyote kwa taifa.
Katika kampeni za kunadi sera za chama hicho Mkoani Tabora CCM...
10 years ago
Dewji Blog13 May
Breaking News!: Jeshi lachukua Nchi Burundi, Rais Nkurunzinza akiwa Tanzania
Pierre Nkurunziza -Pichani
Na MASHIRIKA YA HABARI
Ripoti kutoka Bujumbura, nchini Burundi zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi.
Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpwito.
Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza imeon’golewa madarakani.
Meja...
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Mawifi pande zote mpendane
9 years ago
BBCSwahili13 Sep
Pande hasimu zakubaliana Libya