Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano:Jeshi lasambazwa Burundi

Jeshi la Burundi limetawanywa nchini humo kujaribu kukabiliana na wale wanaopinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwania muhula wa tatu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yachacha Burundi

Maandamano yanaendelea kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura kupinga uamuzi wa rais Pierre Nkurunziza wa kuwania muhula wa tatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Maandamano makubwa Burundi leo

Pierre-NkurunzizaNa Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
WAPINZANI wanaompinga Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, wametangaza kufanya maandamano makubwa ya kupinga hatua ya kiongozi huyo kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Pamoja na hali hiyo, Rais Nkurunziza, jana alijitokeza kwa mara ya kwanza tangu jaribio la kumpindua lishindwe na kueleza tishio la nchi yake kushambuliwa na kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu wa Al Shabaab cha Somalia.
Wakati akiyasema hayo, Rais Nkurunziza hakutoa kauli yoyote kuhusiana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandalizi wa maandamano waonywa Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameonya kuwaadhibu vikali wote wanaopanga maandamano ya raia dhidi yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaharakati wafanya maandamano Burundi

Wanaharakati wa upinzani nchini Burundi wameingia mitaani kwa siku ya pili kupinga hatua ya rais wa taifa hilo kuwania muhula wa 3

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yapamba moto Burundi

Waandamanaji nchini Burundi wameingia mitaani hasira baada ya Rais wa taifa hilo kuamua kugombea nafasi hiyo tena kwa muhula wa 3

 

10 years ago

BBCSwahili

Mmoja afa katika maandamano Burundi

Mtu mmoa amekufa na wengine tisa kujeruhiwa katika maandamano yanaendelea kupamba moto nchini Burundi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yasitishwa kwa siku 2 Burundi

Waandamanaji nchini Burundi wanaompinga rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu wameagiza kusitishwa kwa maandamano hayo

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yazuka dhidi ya rais Burundi

Kumezuka ghasia katika mji wa Bujumbura nchini Burundi kati ya maafisa wa polisi na waandamanaji wanaoishtumu serikali kwa kufanya mapinduzi ya kikatiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano yaingia siku ya pili Burundi

Wanaharakati nchini Burundi wameendelea na maandamano wakipinga uteuzi wa Rais Nkurunzinza kuwania awamu ya tatu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani