Maandamano makubwa Burundi leo
Na Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
WAPINZANI wanaompinga Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, wametangaza kufanya maandamano makubwa ya kupinga hatua ya kiongozi huyo kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Pamoja na hali hiyo, Rais Nkurunziza, jana alijitokeza kwa mara ya kwanza tangu jaribio la kumpindua lishindwe na kueleza tishio la nchi yake kushambuliwa na kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu wa Al Shabaab cha Somalia.
Wakati akiyasema hayo, Rais Nkurunziza hakutoa kauli yoyote kuhusiana na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Maandamano makubwa Siku ya Wanawake leo
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Maandamano makubwa kufanyika Mexico
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Maandamano makubwa yafanyika Ujerumani
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Maandamano makubwa yaanza Hong kong
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani
5 years ago
CCM Blog30 May
MAANDAMANO MAKUBWA KUFUATIA JINAI ZA POLISI WA MAREKANI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI
![Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi](https://media.parstoday.com/image/4bv9fbe534bf5f1nuyd_800C450.jpg)
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Maandamano yachacha Burundi
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Maandamano yapamba moto Burundi
10 years ago
BBCSwahili01 May
Waandalizi wa maandamano waonywa Burundi