Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano makubwa Siku ya Wanawake leo

Siku ya Kimataifa ya Wanawake, inaadhimishwa kitaifa mkoani Morogoro leo, wakati mjini Dar es Salaam, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete atapokea maandamano ya wanawake kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Maandamano makubwa Burundi leo

Pierre-NkurunzizaNa Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
WAPINZANI wanaompinga Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, wametangaza kufanya maandamano makubwa ya kupinga hatua ya kiongozi huyo kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Pamoja na hali hiyo, Rais Nkurunziza, jana alijitokeza kwa mara ya kwanza tangu jaribio la kumpindua lishindwe na kueleza tishio la nchi yake kushambuliwa na kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu wa Al Shabaab cha Somalia.
Wakati akiyasema hayo, Rais Nkurunziza hakutoa kauli yoyote kuhusiana na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano makubwa yafanyika Ujerumani

Maandamano makubwa yamefanyika nchini Ujerumani kwa wanaopinga na kuunga mkono uislamu na wahamiaji

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano makubwa kufanyika Mexico

Wananchi wa Mexico wamejiandaa kufanya maandamano makubwa kupinga kupotea kwa wanafunzi zaidi ya arobaini

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano makubwa yaanza Hong kong

Maelfu ya wanafunzi wameanza mgomo kupinga kanuni za uchaguzi wa kiongozi wa Hong Kong

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA SIKU YA WANAWAKE ILIVYONOGA JIJINI DAR LEO

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakati akikagua kazi mbalimbali za wanawake kwenye hafla ya Siku ya Wanawake,iliyofanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.. Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani

Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO MAKUBWA KUFUATIA JINAI ZA POLISI WA MAREKANI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI

Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusiUbaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.Pamoja na hayo suala ambalo katika miaka ya hivi karibuni limekuwa likiakisiwa zaidi, ni ukatili usio na ukomo wala mpaka wa polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika jambo ambalo limekuwa likitia huzuni kila siku ndani ya nchi hiyo. Katika malalamiko makubwa kufuatia kuuawa mikononi mwa polisi mzungu, Mmarekani mmoja mweusi asiye na...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR LEO

Mama Salma akipungia washiriki wa matembezi wakati wakiwasili viwanja vya Mnazi MmojaWanawake wa Tanzania leo Jumapili Machi 8, 2015, wameungana na wenzao Duniani kote, kusherehekea siku ya Wanawake Duniani. Kitaifa sherehe hiyo imefanyika mkoani Morogoro, wakati jijini Dar es Salaam, wanawake kutoka wizara, taasisi za umma, halmashauri zote za jiji pamoja na vikundi vya wajasiriamali, walishiriki matembezi kutoka jengo la Ushirika barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, hadi viwanja vya...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YANOGESHA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO LEO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni A.C.P Camillus Wambura(kushoto)akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia alipowasili ofisini kwake akiwa kama Mgeni rasmi wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto leo katika viwanja vya Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Askari polisi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Oysterbay na Mbuyuni wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani