Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je,wajua kufanyakazi usiku kuna athari?

Kumekuwa na utafiti ambao umekuwa ukiendelea kwa miaka kadhaa miongoni mwa watu wanaofanya kazi usiku na jinsi inavyoathiri afya yao vibaya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je,wajua kuna waombolezaji wa kulipwa ?

Shughuli katika mji wa Kisumu,huvurugika kwa sababu mamia ya waendesha pikipiki huzuia barabara kutokana na kukodiwa kuomboleza.

 

9 years ago

Habarileo

Acheni kufanyakazi kwa mazoea-Ummy

SERIKALI imewataka watumishi wa sekta ya afya nchini kutofanya kazi kwa mazoea na badala yake kufanya kazi kwa bidii na uadilifu ili kufikia malengo yaliyowekwa. Hatua hiyo inaelezwa itasaidia kurahisisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi kwa kutoa huduma bora na zinazofikiwa kwa wakati.

 

11 years ago

Habarileo

Mambo ya Ndani washauriwa kufanyakazi kwa weledi

Mathias ChikaweWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amewaasa wafanyakazi wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo waliyojiwekea.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Chanzo ya malaria kufanyakazi kwa asilimia 100

Wakati vifo zaidi ya 700,000 vitokanavyo na Malaria vikitokea ukanda wa Jangwa la Sahara kila mwaka wanasayansi wa Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) wakishirikiana na kampuni ya Marekani wameanza majaribio ya chanjo mpya inayotarajiwa kuzuia malaria kwa asilimia 100. Awali majaribio ya chanjo hiyo iitwayo Sanaria PfSPZ yalifanyika Marekani na kudaiwa kuwa watu sita wasiougua malaria walijaribiwa na ilifanikiwa kwa asilimia 100 baada ya wote kutoambukizwa ugonjwa huo. Watu hao sita kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

DAS NAMTUMBO AWATAKA MAAFISA WANYAMAPORI KUFANYAKAZI WALIZOSOMEA.


NA YEREMIAS NGERANGERA….NAMTUMBOAKIZUNGUMZA kwenye mkutanao wa uzinduzi wa zoezi la kulipakifuta jasho na machozi kwa wananchi wa kijiji cha Nambecha wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma katibu tawala bwana Aden Nchimbi aliwaagiza maafisa wanyamapori wilayani humo kufanya kazi walizosomea na sio vinginevyo.
Aden alisema serikali inatumia fedha nyingi kulipa kifuta jasho na machozi kwa wananchi walioathirika na wanyama waharibifu kila mwaka huku maafisa wanyamapori akiwaona wakiwa maofisini...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Wizara ya Fedha waaswa kufanyakazi kwa bidii na kujituma

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Wafanyakazi Wizara ya Fedha wameaswa kufanyakazi kwa bidii na kujituma kwa moyo ili kukuza uchumi wa nchi na taifa liweze kusonga mbele na kufikia malengo yake. 
Kauli hiyo imetolewa na Mgeni Rasmi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo hivi karibuni jijini Dar es salaam.
“Mnapokuwa kwenye mkutano wenu mjadili bajeti bila kuwa na woga kwa kutumia weledi wenu mlionao na kutoa ushauri...

 

9 years ago

Dewji Blog

MAAFISA WA TUME YA UCHAGUZI: Watakiwa kufanyakazi zao kwa kuzingatia Sheria na taratibu!

SAM_0040

baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa wa tume ya uchaguzi yaliyofanyika katika shule ya msingi Ikungi mchanganyiko 

Na.Jumbe Ismailly.

[Ikungi-SINGIDA] Mkuu  wa wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida ametoa wito kwa maafisa wa tume ya uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha viongozi watakaopatikana katika uchaguzi mkuu ujao wa Rais,wabunge na madiwani ni wale ambao wanatakiwa na wananchi na siyo wanaotakiwa na viongozi wa vyama vya siasa.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa wilaya ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhuru Kenyatta: Rais wa Kenya asema hatokubali kufanyakazi na wanaopinga ajenda yake serikalini

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kwamba hatofanya kazi na watu wanaojaribu kuzuia ajenda yake serikalini.

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani